Registered_jf
JF-Expert Member
- Nov 27, 2024
- 1,237
- 2,110
Asilimia 90 ya mahusiano hata hayajui yanahusiana na nini! ! !
Noma sanaaaaaaNi kwa sababu ana hurka ya kitapeli.
Tapeli huwa ana blend katika kila rangi
calm down gentleman, calm down😊☺️ Naunga mkono hoja in bwege voice i.e R.I.P MBUNGE BWEGE (BUNGALA)
NB. Kwenye social issue unakuaga very good commenter...ikija kule kazini na kwenye ile business ya kijanii unakuaga bureeeee kabisa Lecturer wangu 😂😆😁
Kuna (jamii) mwingine mpaka apigwe panga ndio anaamini anapendwa!Upendo una njia nyingi za kuwa translated. Do not call it controlling when its someone trying to love you right.
Kuna (jamii) mwingine mpaka apigwe panga ndio anaamini anapendwa!
Tupo pamoja Gentleman 😆☺️😊calm down gentleman, calm down
kwa neema na baraka za Mungu,
na vitu vingi sana karibu katika kila kitu humu jukwaani,
ila muda ni changaoto mno aise,
but,
as brothers of this very beautiful country we must love each other regardless on how we differ in opinions or our political affiliations
Wanaume mnataka ignorant women kwa wivu mkubwa! Kwa bahati mbaya sasa hivi wengi tuna self awareness😎Imebaki kidogo sana, siku hizi mwanamke amewezeshwa sana kiulewa. Ndio maana unaoana jamii imeanza kulalamika.
Dah kwahiyo wasitupende au sio?Sema vijana waga mnapenda sana!
Hapo lazima mtadakwa na kupelekeshwa.
Ma legend waga tunawaangalia tuu. 😊
SijaelewaMkuu subiria wanishauri kwanza mimi ndo nimewahi kufungua uzi watarudi
Dah kwahiyo wasitupende au sio?
Ushauri kwa ambao bado hamjaingia kwenye ndoa hakikisha unamuwin mwanamke for the first time iwe ni kuvunja laini ya simu sawa tu una haki ya kufanya hivyoWanaume mnataka ignorant women kwa wivu mkubwa! Kwa bahati mbaya sasa hivi wengi tuna self awareness😎
Wanaume mnataka ignorant women kwa wivu mkubwa! Kwa bahati mbaya sasa hivi wengi tuna self awareness😎
Ameanzisha uzi huko wameshindwana na singo maza wake kwahiyo anaomba ushauri jinsi ya kmumuacha bila kumuumiza! Hapo anawahi nafasi waja mkachangie mada yake kwanza😁Sijaelewa
Dahh kwa umakini wetu itahitajika mbinu ya kijasusi😅Kuna namna ya kuishi na wanawake! Vijana wanafahamu hilo kwa kuchelewa sana! 😊
Lekaga ubulomolomo shi mwanikeAmeanzisha uzi huko wameshindwana na singo maza wake kwahiyo anaomba ushauri jinsi ya kmumuacha bila kumuumiza! Hapo anawahi nafasi waja mkachangie mada yake kwanza😁
Kuvunja laini kwa kosa lipi? Au unavunja tu kama kichaa wakati hakuna chochote kwenye simu?Ushauri kwa ambao bado hamjaingia kwenye ndoa hakikisha unamuwin mwanamke for the first time iwe ni kuvunja laini ya simu sawa tu una haki ya kufanya hivyo
What is ignirant?Ignorant!
Kuna mtu leo anataka "Ignorant woman"?
Ignorant woman bado wapo?
Huwa tunafanya hivo wasukuma sijajua makabila mengineKuvunja laini kwa kosa lipi? Au unavunja tu kama kichaa wakati hakuna chochote kwenye simu?