AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Wapare naona bado wameshikiwa bango ShesRise_1 binti kiziwiYani mtu anapata hivyo vyote na bado anataka akupelekeshe kama bwege kisa tu labda uzuri au wewe kumuonesha unyenyekevu.
Wapare naona bado wameshikiwa bango ShesRise_1 binti kiziwiYani mtu anapata hivyo vyote na bado anataka akupelekeshe kama bwege kisa tu labda uzuri au wewe kumuonesha unyenyekevu.
Seran seran seran hamuwezi kudumu kwenye ndoa kama mwanamke asipojifanya chizi(step down) Ndo maana usukumani a man is treated as a King of family ukitaka kumsalimia lazima upige magoti n.kSifanyi huo usenge aisee!
Utachezea makonzi ya utosi shauriyakoSifanyi huo usenge aisee!
Hao wa kuburutwa ndio tunaoa na kuweka ndani halafu nyinyi vichwa upande ni kupiga na kuwalipa halafu kesho tenaSi ndio wale mnaburuta tu huko nje!
Na ndio maana siwezi kuolewa na msukuma Og mimi😁 yani nikamue maziwa like seriously?? Siwezi🙌🏾Seran seran seran hamuwezi kudumu kwenye ndoa kama mwanamke asipojifanya chizi(step down) Ndo maana usukumani a man is treated as a King of family ukitaka kumsalimia lazima upige magoti n.k
Sijaua kwetu aisee!Utachezea makonzi ya utosi shauriyako
Freshy tu endeleeni kuwaoa hakuna mahali mmeshikiwa govi😎Hao wa kuburutwa ndio tunaoa na kuweka ndani halafu nyinyi vichwa upande ni kupiga na kuwalipa halafu kesho tena
Hata kwa id nyingine? 😁Mimi sianzishagi uzi. 😁
Ntakutumia vn😆Duh! Labda wenda sijakuelewa Seran. Anyway sawa. 😁
Sasa ukiwa hivyo utaishia kupigwa na kulipwa mwanaume hua anavumilia mwanzo tu pakianza kuchangamka daah halafu umenikumbushaSijaua kwetu aisee!
ndio muanze ku develop understanding on love language za wapenzi wenu. Nyingine hazieleweki kwa urahisi.Kuna (jamii) mwingine mpaka apigwe panga ndio anaamini anapendwa!
ni sawa, ina depend na context unayotaka kuelezea.Hahahha
Now this is crazy, pure taka taka.
Hata kwa id nyingine? 😁
Kuna fala Moja juz hapa mke wake, kamwachia mtoto then kaondok, tangu 10 Jioni kalud 20 usk mwamba, kamfokea demu kaanza kulia na, jamaa hakaanza kuomba msamaha,demu ashakuwa danga wa mjin balaa.Ingebakia basi wao kupenda pesa na maisha mazuri iishie hapo lakini hawa viumbe ni chupa za chai ambazo hazijai,
Yani mtu anapata hivyo vyote na bado anataka akupelekeshe kama bwege kisa tu labda uzuri au wewe kumuonesha unyenyekevu.
Yeye atabaki kuwa wakunyonya tumwanamke nikishamuweka ndan hata masuala ya kunishauri mpka nimruhusu mimi.
Wapare sisi malayaWapare naona bado wameshikiwa bango ShesRise_1 binti kiziwi
Wafundishe wanaume wenzio waache kulia lia😁Kukaa na mwanamke ni rahisi sana kama utaamua.😀😀na hapo utaelewa concept ngumu ya Why Single mom wanalalamikiwa sio wao..kuna mifumo..
Anakuwa kama SeranMwanamke asie na "awareness" anakuwaje?
Nani kakwambia hatujatahiriwa?Freshy tu endeleeni kuwaoa hakuna mahali mmeshikiwa govi😎