Asilimia 90 ya wadada nilioachana nao kwa sababu walitaka kunipanda kichwani na kuni-control vile watakvyo. Wadada wa kisasa wamekuwa "control freaks"

Asilimia 90 ya wadada nilioachana nao kwa sababu walitaka kunipanda kichwani na kuni-control vile watakvyo. Wadada wa kisasa wamekuwa "control freaks"

Wafundishe wanaume wenzio waache kulia lia😁
Muda hautoshi..shida ni kuwa Wanaume baadhi wanatuangusha sana.Kuna kazi kubwa..wao vikao vya wanakimbilia kutafuta hela hela..si nyakati zote mahusiano yanataka hela ni akili ndogo ndogo sana na hela ikitumika vyema huwa ni deadly weapon.
 
Usiwasanua waache wanyooshwe shenzii
 
Sasa ukiwa hivyo utaishia kupigwa na kulipwa mwanaume hua anavumilia mwanzo tu pakianza kuchangamka daah halafu umenikumbusha
Kupigwa na kulipwa una maana gani? Kwamba nauza uke au vipi?
Kuna kamanzi fulani tulikua na miadi ya kuonana tufanye mechi ya league, basi siku ikafika tumekutana fresh mimi simu nimeweka pembeni tena nikaizima kabisa namuona manzi muda wote kakomaa na simu nikamuuliza wooooi mboni mimi nimeshazimaga simu wewe niaje nini mbaya wewe na hio simu ni gani? Manzi kakomaa na simu nikaona huyu ananikata stimu nikamwambia sikia km vipi mambo yasiwe mengi tiana na hio simu mimi huyo nikatokomea and imagine kashaoga fresh ila muda wote yeye na simu simu na yeye, nitakutia makonzi uwe mfupi
Hahaha sasa mtu asichat na crash?
 
Back
Top Bottom