Asilimia 90 ya wadada nilioachana nao kwa sababu walitaka kunipanda kichwani na kuni-control vile watakvyo. Wadada wa kisasa wamekuwa "control freaks"

Asilimia 90 ya wadada nilioachana nao kwa sababu walitaka kunipanda kichwani na kuni-control vile watakvyo. Wadada wa kisasa wamekuwa "control freaks"

Dahh kwa umakini wetu itahitajika mbinu ya kijasusi😅

Hakuna mbinu yeyote, ni namna tuu ya uchaguzi! Wanawake hawapo sawa, kwa mafikilio, kutenda, kuwaza na mtazamo wao.
Hata wanawake wenyewe huwa wanafikiro wapo sawa wote! Kumbe hamna! 😁
 
Makaka zangu wote wameoa sijaona mwenye hizo pigo sio siri! Najua tu mtu anaamua mwenyewe kubadili namba anaanza maisha mapya ila sio bila sababu tu!
Kumcontrol mwanamke huwa inaanzia hapo wengine huenda mbali zaidi kwa kumpoka simu ili aishi kama chizi fulani hivi asubuhi kukicha ni zizini kukamua maziwa akitoka hapo maji baadae kwenda kuteka maji ya kunywesha ng'ombe 50 akitoka hapo jeuri kwisha
 
Back
Top Bottom