Asilimia 90 ya Watanzania hatujaenda shule

Joined
Feb 13, 2024
Posts
80
Reaction score
204
Habari zenu waungwana, binafsi leo nimeumia sana baada ya kugundua licha ya kuspend miaka mingi kuitafuta elimu kwenye hizi shule zetu za serikali, leo ndio nimegundua kumbe Mimi sikwenda shule bali niliudhuria kwenye hivi vituo vya kukuzia watoto vinavyomilikiwa na serikali

Kwa ufupi ni kwamba serikali haimiliki shule bali serikali inamiliki vituo ambavyo watoto wanapelekwa kukua ili badae waje kua tatizo kwenye jamii yetu.

Nadhani kila mtu anajua jinsi gani shule inavyotakiwa kuwa yahani shule ni muunganiko wa vitu viwili mazingira yaliyo bora kwa ajili ya kujifunza na content inayomjenga na kumuanda mwanafunzi kukabiliana na changamoto atazokutana nazo katika maisha.

Sasa kama hivi vituo vinavyomilikiwa na serikali tukiviita ni shule basi wote tutakua hatujui mahana ya shule, kwani hivi vituo vinavyomilikiwa na serikali vinakosa sifa zote za kuitwa shule.

Kwa kumalizia labda tu niseme serikali haijawai kumiliki shule bali inamiliki vituo vya kukuzia watoto ili badae waje kua wanajeshi polisi wasiojua wajibu wao, panya road, wadada wanaojiuza, wafanyabiashara wadogowadogo ambao wamejazana mabarabarani, wezi vibaka majambazi, wachungaji na mashee uchwara na sasa hivi kuna machawa.

Kama ulisoma shule zinazomilikiwa na serikali au zile za tasisi binafsi zinazofanana na shule za serikali na unajidai ulienda shule jaribu kufikiria upya.
 
Kama umefeli ni wewe!! Kama umekula ada ya shule ni wewe peke yako. Acha kubagaza shule za Serikali kwa sababu tu ulipelekwa na wazazi kusoma ukaishia kuvuta bangi.

Madhara ya bangi hukaa kichwani hadi mwisho wa uzee wako
 
Na wewe ni mmoja wa product zilizotoka kwenye hivi vituo vinavyomilikiwa na serikali, sikudharau na walasikushangai bali nakuonea huruma
 
Kwanza mimi nataka nikutoe hofu kwamba hakuna one and agreed model ya shule, kuna wengine wanasoma nyumbani na wengine wanarithi elimu kutoka kwa mababu (traditional education).

Shida kubwa ninayoiona mimi ni kuelimika, ata kama unasoma kwenye shule yenye facilities zote mpaka uwanja wa mazoezi ya urubani kama haukuelwa na kubakia na sehemu ya hayo mafunzo kichwani wewe ni bure kabisa.

Tuna thibitishaje haujaelimikwa? Matendo yako yakiwa ni sawa na yale wa watu wa mitaaani basi wewe hata kama una PhD ya Havard bado haujaelimika

Focus yetu iwe kwenye kujenga jamii iliyoelimika
 
Habari zenu waungwana, binafsi leo nimeumia sana baada ya kugundua licha ya kuspend miaka mingi kuitafuta elimu kwenye hizi shule zetu za serikali, leo ndio nimegundua kumbe Mimi sikwenda shule bali niliudhuria kwenye hivi vituo vya kukuzia watoto vinavyomilikiwa na serikali

Kwa ufupi ni kwamba serikali haimiliki shule bali serikali inamiliki vituo ambavyo watoto wanapelekwa kukua ili badae waje kua tatizo kwenye jamii yetu.

Nadhani kila mtu anajua jinsi gani shule inavyotakiwa kuwa yahani shule ni muunganiko wa vitu viwili mazingira yaliyo bora kwa ajili ya kujifunza na content inayomjenga na kumuanda mwanafunzi kukabiliana na changamoto atazokutana nazo katika maisha.

Sasa kama hivi vituo vinavyomilikiwa na serikali tukiviita ni shule basi wote tutakua hatujui mahana ya shule, kwani hivi vituo vinavyomilikiwa na serikali vinakosa sifa zote za kuitwa shule.

Kwa kumalizia labda tu niseme serikali haijawai kumiliki shule bali inamiliki vituo vya kukuzia watoto ili badae waje kua wanajeshi polisi wasiojua wajibu wao, panya road, wadada wanaojiuza, wafanyabiashara wadogowadogo ambao wamejazana mabarabarani, wezi vibaka majambazi, wachungaji na mashee uchwara na sasa hivi kuna machawa.

Kama ulisoma shule zinazomilikiwa na serikali au zile za tasisi binafsi zinazofanana na shule za serikali na unajidai ulienda shule jaribu kufikiria upya.
Ni kweli kabisa hujaenda shule na kama umeenda haujasoma ndo mana neno "maana" unaandika "mahana".
 
IMG-20240612-WA0912.jpg
 
Mtu aliye elimika anashindwa kuleta mjadala kwenye jambo zito na la maana kwa Jamii. Badala yake analeta dhihaka, makidai na Uzodoaji.

Kwa tuliosome Cuba tunaelewa unategemea majibu ya aina gani. Sinto kupatia nafasi hiyo.

Ukweli ubakie-This is a Digital Blackface. Tafuta maana yake kwa undani.

Kwa maoni yangu na ya wengi. Uzii huu ni wa kuwatukana WATANZANIA.

Mleta mada Alaaniwe kwa nguvu zote.

Watanzania wameenda shule kwa asilimia kubwa kuliko haya madai Uchwara.
 
Habari zenu waungwana, binafsi leo nimeumia sana baada ya kugundua licha ya kuspend miaka mingi kuitafuta elimu kwenye hizi shule zetu za serikali, leo ndio nimegundua kumbe Mimi sikwenda shule bali niliudhuria kwenye hivi vituo vya kukuzia watoto vinavyomilikiwa na serikali

Kwa ufupi ni kwamba serikali haimiliki shule bali serikali inamiliki vituo ambavyo watoto wanapelekwa kukua ili badae waje kua tatizo kwenye jamii yetu.

Nadhani kila mtu anajua jinsi gani shule inavyotakiwa kuwa yahani shule ni muunganiko wa vitu viwili mazingira yaliyo bora kwa ajili ya kujifunza na content inayomjenga na kumuanda mwanafunzi kukabiliana na changamoto atazokutana nazo katika maisha.

Sasa kama hivi vituo vinavyomilikiwa na serikali tukiviita ni shule basi wote tutakua hatujui mahana ya shule, kwani hivi vituo vinavyomilikiwa na serikali vinakosa sifa zote za kuitwa shule.

Kwa kumalizia labda tu niseme serikali haijawai kumiliki shule bali inamiliki vituo vya kukuzia watoto ili badae waje kua wanajeshi polisi wasiojua wajibu wao, panya road, wadada wanaojiuza, wafanyabiashara wadogowadogo ambao wamejazana mabarabarani, wezi vibaka majambazi, wachungaji na mashee uchwara na sasa hivi kuna machawa.

Kama ulisoma shule zinazomilikiwa na serikali au zile za tasisi binafsi zinazofanana na shule za serikali na unajidai ulienda shule jaribu kufikiria upya.
Mbona uchungu mwingi kiwango hicho,au baada ya hapo umeangukia kuwa panyaroad ndugu,mwenzio nimeangukia upolisi🤗
 
Kwamba watu 6m kati ya 61m, ndio wanaelimu..?? Na unaposema hawajaenda shule maana yake hata darasa la kwanza hawajasoma
 
Hata hao 10% waliosoma hajaelimika ht mmoja...
 
Hata ukisikiliza redio uskie watangazajiwa siku hizi wanavobwabwaka alafu unaambiwa wamesoma, , utachoka
 
Back
Top Bottom