Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Kwa utafiti wangu usiotia shaka hata chembe tena kwa kujionea mimi mwenyewe hakika asilimia kubwa ya mabinti wanao tokea kwenye familia tajiri ama wanaojiweza ni makahaba wa kutupwa!
Ipo hivi, mawakala wa uzinzi na ma dada poa sugu miaka ya hivi karibuni wanaendesha mradi wa kuwauza mabinti kwa midume yenye ukwasi kwa makubaliano ya kulipwa mamilioni ya pesa kuanzia milioni moja hadi milioni 5.
Walengwa wakuu wa mradi huo ni mabinti wanaosoma shule za kitajiri hasa za bweni na mawakala wale wamejenga mtandao wao unaowanufaisha kwa pamoja wakala na matron wakati mwingine dau likiwa kubwa na pengine mnunua binti kwa maana ya dume husika anahitaji binti awe naye kwa zaidi ya siku moja matron hulazimika kumshirikisha kwa usiri mkubwa mkuu wake wa kazi kwa ahadi ya yeye kupatiwa mgawo usiopungua milioni kwa mfano.
Mgawanyo huwa hivi endapo itatoka milioni moja asilimia 40 huchukua wakala ila wakala naye ndani ya hiyo 40% huigawanya kwa kumlipa mtunza nyumba ya wanafunzi wa kike ( matron) na 60% huchukua mhusika.
Ieleweke, mawakala hao huwalenga mabinti wa kitasha kwa kuwashawishi zawadi kemkem za gharama kubwa ikiwamo simu za kisasa, nguo na mambo mengi ambayo huwa yapo aghari kwa wakati husika. Vilevile, mawakala wale huwaahidi msaada wa ufaulu mitihani kwa wao kutoa rushwa kwa wahusika na mwisho wa siku matokeo hutoka wana daraja la kwanza.
Mabinti wa kuanzia kidato cha 4, 5, 6 na vyuoni ndiwo waathiriwa wakubwa wa mradi huo na hupelekwa mahotel makubwa yenye hadhi ya nyota 4 na 5.
Ni mengi kuwahusu lakini leo naishia hapa.