Asilimia 95 ya mabinti wanaotoka kwenye familia tajiri ni makahaba wa kutupwa!

Unadate na mtu hana hela ya kusuka, nauli ya kuja, kodi ya nyumba, akiumwa anakulilia. Ndio umlinganishe na mtu ambaye akikwama anajua wapi pa kwenda, kasoma shule nzuri, ana exposure, hana njaa wala ushamba wa kupapatikia vitu.

Ukichukua watoto wenye tabia njema mmoja familia inajiweza na mwingine maskini wa kutupwa chagua anayejiweza. Maskini akikosa kabisa anafanya lolote aweze survive, nina ushahidi hata kwenye simu
 
Kwa utafiti wangu usiotia shaka hata chembe tena kwa kujionea mimi mwenyewe hakika asilimia kubwa ya mabinti wanao tokea kwenye familia tajiri ama wanaojiweza ni makahaba wa kutupwa!

Ipo hivi, mawakala wa uzinzi na ma dada poa sugu miaka ya hivi karibuni wanaendesha mradi wa kuwauza mabinti kwa midume yenye ukwasi kwa makubaliano ya kulipwa mamilioni ya pesa kuanzia milioni moja hadi milioni 5.

Walengwa wakuu wa mradi huo ni mabinti wanaosoma shule za kitajiri hasa za bweni na mawakala wale wamejenga mtandao wao unaowanufaisha kwa pamoja wakala na matron wakati mwingine dau likiwa kubwa na pengine mnunua binti kwa maana ya dume husika anahitaji binti awe naye kwa zaidi ya siku moja matron hulazimika kumshirikisha kwa usiri mkubwa mkuu wake wa kazi kwa ahadi ya yeye kupatiwa mgawo usiopungua milioni kwa mfano.

Mgawanyo huwa hivi endapo itatoka milioni moja asilimia 40 huchukua wakala ila wakala naye ndani ya hiyo 40% huigawanya kwa kumlipa mtunza nyumba ya wanafunzi wa kike ( matron) na 60% huchukua mhusika.

Ieleweke, mawakala hao huwalenga mabinti wa kitasha kwa kuwashawishi zawadi kemkem za gharama kubwa ikiwamo simu za kisasa, nguo na mambo mengi ambayo huwa yapo aghari kwa wakati husika. Vilevile, mawakala wale huwaahidi msaada wa ufaulu mitihani kwa wao kutoa rushwa kwa wahusika na mwisho wa siku matokeo hutoka wana daraja la kwanza.

Mabinti wa kuanzia kidato cha 4, 5, 6 na vyuoni ndiwo waathiriwa wakubwa wa mradi huo na hupelekwa mahotel makubwa yenye hadhi ya nyota 4 na 5.

Ni mengi kuwahusu lakini leo naishia hapa.
Leta ushahidi hapa
 
Umhonge mtoto wa miaka 17 au 18 anayesoma shule ya kimataifa ya Tanganyika (IST) ngazi ya IB diploma (grade 11/12) yaani kwa mfumo wa elimu yetu ya kawaida ni form 5/6 milioni moja?

Ada yao mwaka huu ni $33,000 (Tshs. 77,517,000) pia ada ya jengo ni $7000 (Tshs. 16,443,000). Au mimi ndio sijakuelewa shule za kitajiri tafsiri yako ni ipi? Kama ulimaanisha watoto wanaosoma shule za binafsi zinazotumia syllabus ya ndani hizo sio shule za kitajiri.
 
Hao ni mabinti kutoka familia maskini ambao wanategemewa kwao wapeleke hela ya kula
 
Umhonge mtoto wa miaka 17 au 18 anayesoma shule ya kimataifa ya Tanganyika (IST) ngazi ya IB diploma (grade 11/12) yaani kwa mfumo wa elimu yetu ya kawaida ni form 5/6 milioni moja?

Ada yao mwaka huu ni $33,000 (Tshs. 77,517,000) pia ada ya jengo ni $7000 (Tshs. 16,443,000). Au mimi ndio sijakuelewa shule za kitajiri tafsiri yako ni ipi? Kama ulimaanisha watoto wanaosoma shule za binafsi zinazotumia syllabus ya ndani hizo sio shule za kitajiri.

Kwani hizi ada wanapewa mkononi wapeleke shule[emoji23][emoji23]

Zipo factor nyingi zinazoponza watoto wa kike,pesa ni moja wapo
Mletamada amezungumza jambo ambalo linawezaonekana ni kama wivu au hekaya,ila haya mambo ya hovyo yapo sana.

Baba anaonekana ana pesa lakini sio utaratibu wake kumshikisha pesa mtoto wake wa miaka 15 akiamini bado ni mdogo,mtoto kila kitu anafanyiwa.hali hiyo inawapa mwanya mafataki wenye pesa pia.
 
Mtoto wa tajiri hajiuzi hata siku.moja akimtaka mtu yeye ndie anamhonga

Utafoti wako wa uongo

Halafu watoto wa matajiri wengi wana malengo ya maisha ndio maana shule wanakosoma watoto wa matajiri watoto hufaulu sana
Wewe ni aina ya mwanaume anayeohongwa na mwañamke na haijuulizi Hela anatoa wap kisa kwao mambo safi!
 
Kwa utafiti wangu usiotia shaka hata chembe tena kwa kujionea mimi mwenyewe hakika asilimia kubwa ya mabinti wanao tokea kwenye familia tajiri ama wanaojiweza ni makahaba wa kutupwa!

Ipo hivi, mawakala wa uzinzi na ma dada poa sugu miaka ya hivi karibuni wanaendesha mradi wa kuwauza mabinti kwa midume yenye ukwasi kwa makubaliano ya kulipwa mamilioni ya pesa kuanzia milioni moja hadi milioni 5.

Walengwa wakuu wa mradi huo ni mabinti wanaosoma shule za kitajiri hasa za bweni na mawakala wale wamejenga mtandao wao unaowanufaisha kwa pamoja wakala na matron wakati mwingine dau likiwa kubwa na pengine mnunua binti kwa maana ya dume husika anahitaji binti awe naye kwa zaidi ya siku moja matron hulazimika kumshirikisha kwa usiri mkubwa mkuu wake wa kazi kwa ahadi ya yeye kupatiwa mgawo usiopungua milioni kwa mfano.

Mgawanyo huwa hivi endapo itatoka milioni moja asilimia 40 huchukua wakala ila wakala naye ndani ya hiyo 40% huigawanya kwa kumlipa mtunza nyumba ya wanafunzi wa kike ( matron) na 60% huchukua mhusika.

Ieleweke, mawakala hao huwalenga mabinti wa kitasha kwa kuwashawishi zawadi kemkem za gharama kubwa ikiwamo simu za kisasa, nguo na mambo mengi ambayo huwa yapo aghari kwa wakati husika. Vilevile, mawakala wale huwaahidi msaada wa ufaulu mitihani kwa wao kutoa rushwa kwa wahusika na mwisho wa siku matokeo hutoka wana daraja la kwanza.

Mabinti wa kuanzia kidato cha 4, 5, 6 na vyuoni ndiwo waathiriwa wakubwa wa mradi huo na hupelekwa mahotel makubwa yenye hadhi ya nyota 4 na 5.

Ni mengi kuwahusu lakini leo naishia hapa.
hivi we uko duniani kweli? Km uko ahera msalimie Magu
 
Mtoto wa kitajiri alafu unasema wanauzwa kwa ahadi za simu kali, kupelekwa nyota 5 hotels

Hao sio watoto wa kitajiri. Watoto wa kitajiri kwelikweli hizo simu za kisasa na hotel nyota tano ni vitu vya kawaida sana.

Mtt wa kishua kwao amepewa iphone 14, we utamhonga simu gan tena? Baba yake ana hizo hotel za nyota tano, sasa utampeleka hizo hotel ajabu gani aone.

Au watoto wa kitajiri unamaanisha wale baba ake ana prado moja ya mkopo?

Nina rafiki yangu mmoja mtoto wa kishua amesoma IST. Pesa kwao kitu cha kawaida sana, mtto wa kike mdogo tu anasukuma land rover discovery, anasoma chuo hapa hapa tz

Ndo umuhonge laki 6 sjui umpeleke nyota tano?

Kuna yule ali trend mwaka jana kama sio juzi, pale KCMC siku ya graduu akazawadiwa na baba ake landcruiser LC200 ya mwaka 2021 mpyaa. Ndo ajiuze kwa laki 2 heb tuwe serious basi

Mnakutana na madem weupe wenye tako na iphone basi mnasema wa kishua. Anakupiga vizinga umpe iphone macho matatu akupe mbususu.

Mtoto wa kishua anakupa hivyo vyote wewe mtoto wa kiume
 
Back
Top Bottom