Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
📌Nchi gani
si unajua tena anazani dem akiwa mweupe afu ana iphone basi ni wakishua....Hivi unawajua Watoto wa matajiri kweli?
Yaani mtoto wa Tajiri ajiuze kwaajili ya Pesa ilhali kwao Pesa Ipo, utafiti wako unakosa mantiki.
Labda useme Watoto wa matajiri ndio wanatumia Pesa kununua wanaume wanaojiuza, Mario
si unajua tena anazani dem akiwa mweupe afu ana iphone basi ni wakishua....
wabongo ndo tulivo.... sasa mtu analipwa 1m mnamuita tajiri wakati kuna mtu anasomesha mtoto wake shule ya 30m+ 😂😀😀
Kwa nchi yetu kuna sehemu nilienda ATI mtu kisa ameajiriwa serikali analipwa milioni moja wanamuita Tajiri hapo ndipo nikajua nchi yetu ni Maskini
Leta ushahidi hapaKwa utafiti wangu usiotia shaka hata chembe tena kwa kujionea mimi mwenyewe hakika asilimia kubwa ya mabinti wanao tokea kwenye familia tajiri ama wanaojiweza ni makahaba wa kutupwa!
Ipo hivi, mawakala wa uzinzi na ma dada poa sugu miaka ya hivi karibuni wanaendesha mradi wa kuwauza mabinti kwa midume yenye ukwasi kwa makubaliano ya kulipwa mamilioni ya pesa kuanzia milioni moja hadi milioni 5.
Walengwa wakuu wa mradi huo ni mabinti wanaosoma shule za kitajiri hasa za bweni na mawakala wale wamejenga mtandao wao unaowanufaisha kwa pamoja wakala na matron wakati mwingine dau likiwa kubwa na pengine mnunua binti kwa maana ya dume husika anahitaji binti awe naye kwa zaidi ya siku moja matron hulazimika kumshirikisha kwa usiri mkubwa mkuu wake wa kazi kwa ahadi ya yeye kupatiwa mgawo usiopungua milioni kwa mfano.
Mgawanyo huwa hivi endapo itatoka milioni moja asilimia 40 huchukua wakala ila wakala naye ndani ya hiyo 40% huigawanya kwa kumlipa mtunza nyumba ya wanafunzi wa kike ( matron) na 60% huchukua mhusika.
Ieleweke, mawakala hao huwalenga mabinti wa kitasha kwa kuwashawishi zawadi kemkem za gharama kubwa ikiwamo simu za kisasa, nguo na mambo mengi ambayo huwa yapo aghari kwa wakati husika. Vilevile, mawakala wale huwaahidi msaada wa ufaulu mitihani kwa wao kutoa rushwa kwa wahusika na mwisho wa siku matokeo hutoka wana daraja la kwanza.
Mabinti wa kuanzia kidato cha 4, 5, 6 na vyuoni ndiwo waathiriwa wakubwa wa mradi huo na hupelekwa mahotel makubwa yenye hadhi ya nyota 4 na 5.
Ni mengi kuwahusu lakini leo naishia hapa.
Umhonge mtoto wa miaka 17 au 18 anayesoma shule ya kimataifa ya Tanganyika (IST) ngazi ya IB diploma (grade 11/12) yaani kwa mfumo wa elimu yetu ya kawaida ni form 5/6 milioni moja?
Ada yao mwaka huu ni $33,000 (Tshs. 77,517,000) pia ada ya jengo ni $7000 (Tshs. 16,443,000). Au mimi ndio sijakuelewa shule za kitajiri tafsiri yako ni ipi? Kama ulimaanisha watoto wanaosoma shule za binafsi zinazotumia syllabus ya ndani hizo sio shule za kitajiri.
Hii nchi ni kubwa kuliko unavyowaza, hata bia ya buku jero Kuna sehemu inauzwa elfu kumi na watu wanakunywa bila mawazo!Nchi gani
Wewe ni aina ya mwanaume anayeohongwa na mwañamke na haijuulizi Hela anatoa wap kisa kwao mambo safi!Mtoto wa tajiri hajiuzi hata siku.moja akimtaka mtu yeye ndie anamhonga
Utafoti wako wa uongo
Halafu watoto wa matajiri wengi wana malengo ya maisha ndio maana shule wanakosoma watoto wa matajiri watoto hufaulu sana
hivi we uko duniani kweli? Km uko ahera msalimie MaguKwa utafiti wangu usiotia shaka hata chembe tena kwa kujionea mimi mwenyewe hakika asilimia kubwa ya mabinti wanao tokea kwenye familia tajiri ama wanaojiweza ni makahaba wa kutupwa!