Asilimia 97 ya historia ya binadamu haijulikani, hii iliyopo sasa ni 3% tu

Asilimia 97 ya historia ya binadamu haijulikani, hii iliyopo sasa ni 3% tu

John Haramba

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2022
Posts
365
Reaction score
1,374
Maisha ya binadamu ya sasa hivi tuliopo inaelezwa kuwa historia yetu ilianza miaka 200,000 iliyopita, lakini hakukuwa na rekodi halisi zilizowekwa kwa kuwa rekodi za nini kilifanyika na kwa kiwango gani zimeanzia miaka 6,000 iliyopita.

Hivyo kwa mujibu wa baadhi ya wanahistoria ni kuwa hiyo inamaanisha kuwa kuna asilimia 97 (97%) ya historia ya mwanadamu imepotea na haijulikani ilikuwaje.

FLUHXeEaIAkdJNx.jpg
 
Back
Top Bottom