Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
😂😂😂 itakuaKwao wanakula hizo kuku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 itakuaKwao wanakula hizo kuku
Wewe ni vema ukamsikiliza mwenzako anapenda nini na anasababu gani. Usiclamishe kuwa kila mtu anapenda kuishi life style yako ya kuwa around watu wengi muda wote.Kuoa .ni kuongeza familia .unakuwa na famila ya upande wa mume na mke .hivyo basi kuishi kiujamaa ni bora zaidi kuliko kuishi watu wwngi.mimi binafsi napenda ndugu waje kwangu wakae angalau mwezi nafurahi.! Utakuta mtu kalelewa n shangazi au bibi ila yeye akioa anachukia kuja kwa ndugu huo ni ubinafsi. Kama suala ni chokochoko zinazuilika.
Mkwe lazima adekezwe. Akileta ghubu anachuliwa poa tu ila matunzo yote muhimu na misaada atapewa tu.acha tu, na ni marufuku kusema mama wa mtu kakosea[emoji23][emoji23] umetangaza vita na ukoo
Inanihusu mimi hili gazeti🤷🤷Sasa badala ya wewe kumsisitiza mwenzako abadilike kwanini wewe usibadilike. Hivi unaona sifa kweli mtu unaona ndio new couple in town wameoana wamefunga ndoa takatifu wanataka waenjoy maisha ya ndoa ujanani.... Haoooooo mshakuja.
Mimi namkubali sana bi mkubwa wangu hanaga huo ushamba. Yaani yeye kuja kwako ni hadi umualike au asikie mkeo kajifungua au anaumwa hana msaada ndio utamuona ila mambo mengine akiwa na shida atakupigia simu uende kwake atakwambia huko huko umsaidie.
Watu wanataka kuenjoy ndoa yao , watembee na chupi ndani nyie mnakuja kuwabana bana halafu sasa watu wa sampuli hii huwa ni wale wavivu wanaopenda kufanyiwa kila kitu wao wakae tu kama wagonjwa hawana mishe wala nini.
Mimi ukija kwangu njoo tu ila ratiba nitakayokupa utaona ni bora ukapange uishi kwako tu maana sipendi kuendekeza uzembe na kubebana kijinga.
Tusaidiane kutoka kimaisha sio kudidimizana kiuchumi kwa kisingizio cha undugu sijui damu nzito kuliko maji.... Damu nzito kuliko maji umejaribu mawe uone balaa lake
yaani khaa 😅😅😅 heri hata wewe umeonami haya maisha natamani ningekua na hela nyingi mtu yeyote anaekuja kwangu ale kuku, nyama, samaki siku zote anazokaa kwangu hata kama ni mwaka...kuwa na kipato kidogo nadhani kunachangia maneno pia wageni wanahitaji kuku wakila maharage inaleta shida kidogo
😅😅😅Ni kujiendekeza na ubinafsi mbona ukiwa kabwela hawaji mpate shida wote. Dawa ya watu kama hao ni kuwa na biashara na mashamba wakija unawaachia wiki moja tu ya kujiachia watakavyo baada ya hapo ina maana hawana kazi na muda wao unaanza wapa vibarua.
Uncle twende zetu shamba kidogo tukakatie ng'ombe nyasi.
Kesho, uncle sasa kesho kuna mzigo unakuja toka mkoa naomba ukanisaidia kuupokea halafu uupeleke sehemu ntakuelekeza.
Keshokutwa uncle kuna rafiki yangu anajenga sasa alikuwa anahitaji msaada wa kununuliwa vifaa vya ujenzi na kusimamia mafundi naomba unisaidie uende kuna kijana wake pale mtasaidiana kuwatazama wale mafundi.
Ntamkeep busy akilala analala hoi na kumuamsha ni saa kumi alfajiri namuamsha tupige story kabla sijaenda kazini.
Atakoma wiki tu ataaga.
unakaza au sio
yaani uje kwangu halafu eti unipangie msosii haiwezekaniyaani khaa 😅😅😅 heri hata wewe umeona
inaeezekana try ityaani uje kwangu halafu eti unipangie msosii haiwezekani
No way kuwezekanainaeezekana try it
Hatuji huko kwenuNo way kuwezekana
Wakati wa uchumba mbona mnajifanya kuwapenda sana ndg wa mume? Hizo kanuni za kutobanwa mziainishe kabla ya kuolewa, acheni roho mbaya, maisha ya kiafrika ndo hayo, Kwanza ndg wa mume unakuwa na hakika hawezi kukuibia mume kwa asilimia nyingi
Better...Hatuji huko kwenu
Haahaahaahh haina kwereeeBetter...
Yaani unakuja kwangu napika ugali maharage dagaa na mchicha unakataa unasema unataka wali samaki na nyama? Hell no utakula ninachopika, hutaki chapa lapa
Kweli kabisa
Hawajawahi kujibuMkuu waliweza kukujibu hilo swali....
Maana wengi wakishaingia ndoani ndio huanza kuona ndugu ni kero.
Kuna yale mawifi masingle mother's hayajui ndoa ila yakifika Kwa kaka zao kuleta mikosi na maneno wao hata harufu ya ndoa hawaijui na yamezalishwa kama mabata ukiyakaribisha yanaleta chokochokoWewe ni vema ukamsikiliza mwenzako anapenda nini na anasababu gani. Usiclamishe kuwa kila mtu anapenda kuishi life style yako ya kuwa around watu wengi muda wote.
Wengine wanapenda utulivu na kufocus na ndoa ndio akili zao zinafanya kazi sawa sawa.
Maisha yanabadilika sana. Na ndio maana kuna familia sasa zinapiga hatua sana kimaendeleo kuliko zingine unaishia kusema hawa wamependelewa na MUNGU kumbe ni mipango yao.
Kuna familia ukiingia hadi unaona jau kuwazoea sababu wapo busy na mambo yao.
Sasa ww unakuwaje busy na ndugu zako zaidi kuliko mkeo. Ndugu wabakie kuwa ndugu mke abakie mke. Mwisho wa siku utafanya mtoto wa watu aanze kuwa mshirikina akuloge ili uwe unachukia ndugu zako.
Msikilize kama akiwa ni ile hapendi ndugu zako waje kwako huyo atakuwa na shida mpe makavu ila swala la kuishi na ndugu hilo siwezi mlaumu.
Wanawake wanadeal na mengi sana unapowaacha na ndugu . Pale ni mji wake anahitaji kupatawala why umeletee watu ambao nao wanajiona ni kwao pia waanze mpangia kwa kisingizio chakuwa wao ni ndugu zako.
Kama bi rahisi kwanini wasiolewe waende kwa waume zao na kuwa na miji ya kutawala au na wao kutafuta pesa wakapate miji yao waoe waishi kwa starehe wanayotaka?!
Mimi sipendi mtoto wa watu ateseke sababu nataka tu kufirahisha watu ambao wanaishi kisela badala ya kuwa na mipango ya maisha tena mipango serious.
Better...
Yaani unakuja kwangu napika ugali maharage dagaa na mchicha unakataa unasema unataka wali samaki na nyama? Hell no utakula ninachopika, hutaki chapa lapa