Asilimia kubwa ndugu huvunja ndoa za ndugu zao

Wewe ni vema ukamsikiliza mwenzako anapenda nini na anasababu gani. Usiclamishe kuwa kila mtu anapenda kuishi life style yako ya kuwa around watu wengi muda wote.

Wengine wanapenda utulivu na kufocus na ndoa ndio akili zao zinafanya kazi sawa sawa.

Maisha yanabadilika sana. Na ndio maana kuna familia sasa zinapiga hatua sana kimaendeleo kuliko zingine unaishia kusema hawa wamependelewa na MUNGU kumbe ni mipango yao.

Kuna familia ukiingia hadi unaona jau kuwazoea sababu wapo busy na mambo yao.

Sasa ww unakuwaje busy na ndugu zako zaidi kuliko mkeo. Ndugu wabakie kuwa ndugu mke abakie mke. Mwisho wa siku utafanya mtoto wa watu aanze kuwa mshirikina akuloge ili uwe unachukia ndugu zako.

Msikilize kama akiwa ni ile hapendi ndugu zako waje kwako huyo atakuwa na shida mpe makavu ila swala la kuishi na ndugu hilo siwezi mlaumu.

Wanawake wanadeal na mengi sana unapowaacha na ndugu . Pale ni mji wake anahitaji kupatawala why umeletee watu ambao nao wanajiona ni kwao pia waanze mpangia kwa kisingizio chakuwa wao ni ndugu zako.

Kama bi rahisi kwanini wasiolewe waende kwa waume zao na kuwa na miji ya kutawala au na wao kutafuta pesa wakapate miji yao waoe waishi kwa starehe wanayotaka?!

Mimi sipendi mtoto wa watu ateseke sababu nataka tu kufirahisha watu ambao wanaishi kisela badala ya kuwa na mipango ya maisha tena mipango serious.
 
Inanihusu mimi hili gazeti🀷🀷
 
yaani khaa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… heri hata wewe umeona
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Wakati wa uchumba mbona mnajifanya kuwapenda sana ndg wa mume? Hizo kanuni za kutobanwa mziainishe kabla ya kuolewa, acheni roho mbaya, maisha ya kiafrika ndo hayo, Kwanza ndg wa mume unakuwa na hakika hawezi kukuibia mume kwa asilimia nyingi

Mkuu waliweza kukujibu hilo swali....

Maana wengi wakishaingia ndoani ndio huanza kuona ndugu ni kero.
 
Hatuji huko kwenu
Better...

Yaani unakuja kwangu napika ugali maharage dagaa na mchicha unakataa unasema unataka wali samaki na nyama? Hell no utakula ninachopika, hutaki chapa lapa
 
K
Kuna yale mawifi masingle mother's hayajui ndoa ila yakifika Kwa kaka zao kuleta mikosi na maneno wao hata harufu ya ndoa hawaijui na yamezalishwa kama mabata ukiyakaribisha yanaleta chokochoko

Mfano kaka Yao ana pesa yanataka yamtawale mpaka mkewe awe chini haya ni nuksi kinoma ndo chanzo Cha matatizo .Baadae hayo matoto yao waliozaa bila kuolewa watayaleta hapo kukaa hapo Lisa kaka yao na kipato instead ya kuwapeleka Kwa baba zao
 
πŸ™„πŸ˜’πŸ˜‰πŸ™ƒπŸ™‚
 
Better...

Yaani unakuja kwangu napika ugali maharage dagaa na mchicha unakataa unasema unataka wali samaki na nyama? Hell no utakula ninachopika, hutaki chapa lapa



Imeandikwa;

β€œ Iweni wakarimu kwa wageni maana kwa kufanya hivyo wengine waliweza kuwakaribisha Malaika wa Mungu”

Kwa mtu mwenye moyo wa upendo na ukarimu kwa wageni akija mgeni hata kama ratiba ilikuwa mboga ya maharagwe atabadilisha apike nyama au samaki ili kumkarimu mgeni japo kwa siku za mwanzoni n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…