Asilimia kubwa ndugu huvunja ndoa za ndugu zao




Na kadiri unavyowachukia na kuweka gap ndio uwezekano wa kumkuwadia kaka yao michepuko unakuwa mkubwa ili kukukomoa na kukukomesha [emoji108][emoji108]
 
Na kadiri unavyowachukia na kuweka gap ndio uwezekano wa kumkuwadia kaka yao michezo unakuwa mkubwa ili kukukomoa na kukukomesha [emoji108][emoji108]
Mimi nikiwa na mke wangu ndugu ndoa yake ikimshinda asilete sura yake kila mtu apambane na life lake
Wanawake wanaharibu Sana ndoa za kaka zao wengi ukiwaribisha kwako ni hatari mi nisipendi ndugu wa kike kujifanya wanajali kumbe wivu tu kwa wifi yao
 
Kwa siku za mwanzo sio shida, huko mbeleni tunaendelea na ratiba kama kawaida
 
Wakati wa uchumba mbona mnajifanya kuwapenda sana ndg wa mume? Hizo kanuni za kutobanwa mziainishe kabla ya kuolewa, acheni roho mbaya, maisha ya kiafrika ndo hayo, Kwanza ndg wa mume unakuwa na hakika hawezi kukuibia mume kwa asilimia nyingi
Wakati wa uchumba fulu maigizo kwa mama mkwe na ndugu kiujumla.. simu na zawadi kila uchao.. kakiwekwa ndani rangi zako ndo zinachanua kama hivi.. shubaaamit😬
 
Na wanauzazi hao kila mwaka wanafyatua
 
Wakati wa uchumba fulu maigizo kwa mama mkwe na ndugu kiujumla.. simu na zawadi kila uchao.. kakiwekwa ndani rangi zako ndo zinachanua kama hivi.. shubaaamit[emoji51]
Kila kitu kiwe kwa kiasi ndiyo maana hata mboga tunabadilisha, mwanaume atawaacha wazazi wake ataambatana na mkewe, na mwanamke ataacha wazazi ataambatana na mmewe, wapewe nafasi mtu mnajazana watu wanashindwa hata kuinjoy mnajibana bana pumzi ili walio lala sebuleni wasisikie
 
Kwa afrika ndiyo maisha yetu.. watapungua hawez kuisha.. tatizo la wadada waleo wanadhani maisha ya kwenye tamthilia yanashabihiana na maisha halisi ya kiafrika
 
Ndugu wa mwenza utaishi nao vipi kabla ya kuolewa/oa?

Wewe utaoa vipi mwanamke ambaye ndugu zako hawajamfahamu....

Kuna zile mara moja moja zile mnaenda nae kwa maza,, huwa wanajifanya very innocent.... au hujui Mwanamke akiweza kukamata trust kwa ndugu zako mapema, kwake huwa ni tiketi ya wewe kumuoa...??
 
Hizo mara chache hazitoshi.....
 
Ukichukua kila kilichoandikwa kwenye Biblia kichwa kichwa kama kilivyo lazima uende chaka
 
Nilipoanza maisha na yule tumbili,alinijazia ndugu kama watano nikiwa mdogo kabisa.
Baadae wakawa chanzo cha kuachana.
 
Dinazarde hatupendi ila ni hali ya maisha. Mtoto anakwenda shule ya upili iwe ya kulipia au amechaguliwa katika shule za serikali. Unaambiwa akitaka kukaa boda kuna gharama kama laki nne hivi kwa mwaka.

Nyumbani una wadogo zake wanasoma kutoa laki nne kulipia bweni ni vigumu. Unakumbuka Kidawa mtoto wa shangazi anaishi katika mji ile. Kidawa anaachiwa ulezi.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…