Asilimia kubwa ya matatizo kwenye magari ni matatizo ya umeme/Electronics

Asilimia kubwa ya matatizo kwenye magari ni matatizo ya umeme/Electronics

JituMirabaMinne

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2020
Posts
3,381
Reaction score
9,744
Gari nyingi za kuanzia late 1990's na kuendelea kuja huku mbele. Zina mifumo mingi ya umeme.

Tuache mifumo mingine kwenye gari tuongelee engine tu...

Mfano kwenye engine tu peke yake,

Mfumo wa hewa una umeme [MAF sensor na IAT sensor/IAT sensor na MAP sensor]

Mfumo wa mafuta una umeme [kuanzia pump, injector nozzle, fuel pressure sensor, EVAp solenoid, fuel gauge].

Mfumo wa uchomaji mafuta una umeme [Spark plug, Ignition coils, crackshaft position Sensor, Camshaft position sensor]

Mfumo wa timing una umeme [VVT solenoid]

Mfumo wa upoozaji una umeme [ECT sensor, Coolant flow control valve na thermostat kwa baadhi ya gari].

Mfumo wa lubrication una umeme [Oil pressure sensor, Oil level sensor kwa baadhi ya gari]

Mfumo wa emission una umeme [Oxygen/Lambda sensors, NOx Sensor]

Hapo bado kuna kuna msururu wa vitu vingi sijavitaja kama Turbo, EGR, n.k.

Imagine hapo nimegusa engine tu.

Labda kwa kifupi tu nikuambie zaidi ya 90% ya matatizo kwenye engine kwa gari hizo yanasahusiana na mfumo wa umeme, hata kama siyo moja kwa moja.

Na mbaya zaidi gari haiwezi kufanya compesation ya hewa/spark, gari hufanya compesation ya mafuta tu, ndio maana asilimia kubwa ya matatizo yatakayotokea huwa yanapelekea ulaji wa mafuta kuwa mkubwa.

Gari italeak hewa, itaathiri performance ya MAF/MAP sensor, engine itakosa nguvu, mafuta yataletwa mengi ili kucompesate.

ECT sensor itaharibika na kustick kwenye low temperature, gari itaoperate kwenye open loop, wese litatembea sana.

Gari itaua Oxygen sensor, hapa ndio hata nisiongee, maana hata nisiongee, Maana Passo inaweza kubugia kama V8.

Plug zitachoma vibaya, nguvu itakuwa ndogo, ECU itaamuru mafuta zaidi yaletwe ili kucompesate nguvu inayotakiwa kuzalishwa.

VVT solenoid itaoverretard, hewa nyingi itaingia kwenye engine kuliko mafuta, gari itakosa nguvu, ECU itaamuru mafuta mengi zaidi yaletwe.

Kiukweli mifano iko mingi sana.



Tunajihusisha na

1. Diagnosis ya umeme kwa mashine [30,000 kwa engine, au 50,000 kwa mifumo yote].

LMC_20220715_120500506_8.4.300.NIGHT.jpg


2. Compression test [30,000 kwa engine isiyozidi 4 cylinders]

LMC_20220803_152528916_8.4.300.NIGHT.jpg


3. Leak test [Any kind of leak kwenye gari yako kuanzia hewa, mafuta, coolant, exhaust n.k. Kuanzia 50,000 tu].

IMG_20220806_093441.jpg


4. Kufunga/Kuuza GPS kwenye vyombo vya moto. Kuanzia 75,000/=

Man-driving-car-with-smart-phone-for-online-map-and-GPS-application-1024x576.jpg


Tupigie/Whatsapp +255 621 221 606 au +255 688 758 625.

Tupo Dar es salaam, Magomeni, Mwembechai
 
Back
Top Bottom