Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 373
- 829
Mzee miaka ya karibuni ukame na mafuriko vimekuwa kawaida Kwa Nchi nyingi za Afrika na Dunia.Hali ikoje huko kwenu kutokana na hali ya jua kali linalo ikumba Tanzania .je kipi kifanyike kam taifa kuokoa wakulima maana hali ikiendelea hivi siku za usoni tutashuhudia Baa la njaa .
nahisi kama taifa tunahaja ya kuitisha maombi ya taifa Mvua inyeshe
kuachana na Dhuluma zozote Tunazifanya
View attachment 3259854
Hali ikoje huko kwenu kutokana na hali ya jua kali linalo ikumba Tanzania. Je, kipi kifanyike kama taifa kuokoa wakulima maana hali ikiendelea hivi siku za usoni tutashuhudia Baa la njaa .
nahisi kama taifa tunahaja ya kuitisha maombi ya taifa Mvua inyeshe kuachana na Dhuluma zozote Tunazifanya
View attachment 3259854
Hapo wapi mkuu,hata Dodoma ni hivyohivyo!Hali ikoje huko kwenu kutokana na hali ya jua kali linalo ikumba Tanzania. Je, kipi kifanyike kama taifa kuokoa wakulima maana hali ikiendelea hivi siku za usoni tutashuhudia Baa la njaa .
nahisi kama taifa tunahaja ya kuitisha maombi ya taifa Mvua inyeshe kuachana na Dhuluma zozote Tunazifanya
View attachment 3259854
Hasa kina Lukas Mwashambwa na Tlaahtlaah,wanaounga hoja mbovu hadi kububujika na machozi!Tumrudie Mungu, tufanye ibada na tuache dhuluma wana Ccm wenzangu!
Ungelima tuu,kuna baadhi wamepata,Huenda ungekuwa miongoni mwao!Oya huu mwaka wenye mitaji midogo kwenye nafaka ! Pumzi itakata mapema ππ huku kwetu ndoo ya maharage iko 48k njano golori na Soya !
Niliwaza nilime lakini jua aseee ni kali vibaya mno ! π Unaweza ukala za uso vibaya mno !
Maji ya kunywa binadamu hakuna!mwagilieni acheni kilimo chakishamba hicho
Utamwagilia heka70!mwagilieni acheni kilimo chakishamba hicho
Unatafuta ugomvi na wafugaji!Maji ya kunywa binadamu hakuna!
Kumwagilia yatatokea wapi?
maji ya mito na maziwa mnayatumiajeMaji ya kunywa binadamu hakuna!
Kumwagilia yatatokea wapi?