Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Tunamshukuru RaisHali ikoje huko kwenu kutokana na hali ya jua kali linalo ikumba Tanzania. Je, kipi kifanyike kama taifa kuokoa wakulima maana hali ikiendelea hivi siku za usoni tutashuhudia Baa la njaa .
nahisi kama taifa tunahaja ya kuitisha maombi ya taifa Mvua inyeshe kuachana na Dhuluma zozote Tunazifanya
View attachment 3259854
