Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea na Mungu wako unaemwamini,Mungu wetu wengine ambae ni Jehova yupo hai na anajibu maombi kwasababu kwake hakuna neno gumu la kumshinda.Mzee miaka ya karibuni ukame na mafuriko vimekuwa kawaida Kwa Nchi nyingi za Afrika na Dunia.
Sasa hapo maombi yanahusikaje? Hayo ni Mabadiliko ya tabia Nchi yaliyosabanishwa na binadamu.