Asilimia kubwa ya Mazao nchini yanakauka kutokana na jua kali linaloendelea kuwaka. Je, kwenu mpo salama?

Asilimia kubwa ya Mazao nchini yanakauka kutokana na jua kali linaloendelea kuwaka. Je, kwenu mpo salama?

Hali ikoje huko kwenu kutokana na hali ya jua kali linalo ikumba Tanzania. Je, kipi kifanyike kama taifa kuokoa wakulima maana hali ikiendelea hivi siku za usoni tutashuhudia Baa la njaa .
nahisi kama taifa tunahaja ya kuitisha maombi ya taifa Mvua inyeshe kuachana na Dhuluma zozote Tunazifanya

View attachment 3259854
Tunamshukuru Rais
 
Green City wapo safi
Mvua inanyesha kwa mgao pia nikidogo sana ,kuna haja ya kujua hali ya mvua kila msimu mpya wa kilimo ili ujue wakati sahihi wa kulima na kupanda kwamba uwahi sana au uchelewe kidogo,bila hivyo unaweza patwa na presha na mtaji ukapotea.
Green City tupo safi tunamshukuru Mungu
 

Attachments

  • IMG_20250306_093032_027.jpg
    IMG_20250306_093032_027.jpg
    754.3 KB · Views: 1
  • IMG_20250205_083314_747 - Copy.jpg
    IMG_20250205_083314_747 - Copy.jpg
    809.1 KB · Views: 3
Mvua kutokunyesha ni dalili ya kuwa utawala uliopo madarakani haitakiwi na Mungu
 
Asiwe mama Kwa hili nalo. Msimnyime sifa zake.
 
Kiroho mvua ni ishara ya baraka kutoka kwa mungu.
Mvua ni sehemu ya "hazina" zilizoko kwa mungu na anaitoa kwa wampendao na awapendao au hata wema na waovu.
Mvua inapokosekana mahali wakualaumiwa sio wenye dhambi bali wenye haki ambao hawakusimama katika zamu Yao kuomba toba kwa ajili ya mazingira Yao

Mind you
Akiwepo mwenye haki Mmoja akasimama vizuri mbele za bwana anaweza sababisha wakosaji 10k wakapata mvua.ile mvua inakuja kwa ajili ya Mmoja ila wanafaidi wote
 
Jua la Samia
Laana ya ccm! Kama mna akili postpone uchaguzi mkuu ili hiyo fedha ambayo mgetumia iweze kutumiwa kuwanusuru wananchi watakaokabiliwa na. njaa mwaka huu!!
Msisahau pia kuwa mjomba Trump Kisha kata misaada hivyo serikali inatakiwa ikae Chonjo kuhusu matumizi yake!
 
Back
Top Bottom