Inategemea na Mungu wako unaemwamini,Mungu wetu wengine ambae ni Jehova yupo hai na anajibu maombi kwasababu kwake hakuna neno gumu la kumshinda.
17 Eliya alikuwa mwanadamu mwenye tabia moja na sisi, akaomba kwa bidii mvua isinyeshe, na mvua haikunyesha juu ya nchi muda wa miaka mitatu na miezi sita.
Yakobo 5:17
18 Akaomba tena, mbingu zikatoa mvua, nayo nchi ikazaa matunda yake.
Yakobo 5:18