Picha ya anavyokazana kwenye kilimo? 😂😂😂😂😂Weka picha basi.
Yes anayokazana na Kilimo ka.a Masanja mkandamizaji.Picha ya anavyokazana kwenye kilimo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mmh, wa kilimo wanajulikana acheni maneno ya vijiweni,, Jf siyo maboya wakudanganya kirahisi,, katunge uongo mwingine,,
haya wewe unamjua imekusaidia niniKuna utofauti mkubwa sana kati yangu mimi na wewe.
Wewe Diamond unamuona Insta haumjui hata kidogo nje ya instagram.
Ukijibiwa uni tag mkuuKama yeye hapendi kuliweka wazi suala la kilimo we kiherehere cha nini kuongelea mambo ya mwanaume mwenzako tena ambayo yeye binafsi kaona yabaki kuwa siri? Nauliza tu mkuu
Kilimo cha ki "Zimba"Mtu anaeitumia fursa ya AGOA vizuri ni Masanja Mkandamizaji,
Jamaa ukiniambia anamzidi Diamond kwa hela nakubali.
Kilimo kikubwa kinalipaa
Ahsante TANASHA.Hili jambo ninajua wengi hamlifahamu lakini ukweli ni kwamba Diamond hategemei muziki ili kukuza utajiri wake, asilimia kubwa ya utajiri wake unatokana na kilimo.
Diamond ana mashamba makubwa makubwa sana na analima alizeti,karanga na mchele ingawa yeye binafsi hapendi kuliweka wazi suala hili.
Kwa hiyo wale ambao wanadhani diamond atafulia kipesa wanajisumbua tu ukimzibia huku jamaa anatoboa huku.
Mbali na suala hilo, Diamond pia ni mkali sana kwenye suala la kazi, yaani ukitaka kumjua Diamond ni katili namna gani wewe haribu kazi aliyokutuma baasi.
Sawa MOBETO tusamehe sisi.Kuna utofauti mkubwa sana kati yangu mimi na wewe.
Wewe Diamond unamuona Insta haumjui hata kidogo nje ya instagram.
Ni sehemu ya wamiliki japo mwenye % nying za umiliki ndo mwenye maamuzi wengine watashauri tu.We umeliamini Hilo? Okey tufanye uko sahihi.nina swali 1,hivi ukiwa unamiliki hisa wewe sio mmiliki wa kampuni husika?
Hapo ungeandika BWANAKE ingenoga hiyooooooooooooooooooo...Ikiwa yeye mwenyewe hapendi tujue, kimekuwasha nini uache shughuli zako uje kuanzisha mada kuhusu yasiyokuhusu?
Huu ndio hasa UMAMA, tena UMAMA KUBWA. Ukuwadi huishia ushogani. Ama ikiwa wewe ni mwanamke wake, basi niwie radhi maana ni ada ya mwali kumsifie bwana wake.
Kabisa..Diamond hata akimiliki baiskeli tutajua tu, anavyopenda sifa
Hajawah kuwa na siri Yule bwana.... MR SHOW OFFHiyo ni siri nimeamua kuwavujishia