Asilimia kubwa ya utajiri wa Diamond unatokana na kilimo

Asilimia kubwa ya utajiri wa Diamond unatokana na kilimo

mmh, wa kilimo wanajulikana acheni maneno ya vijiweni,, Jf siyo maboya wakudanganya kirahisi,, katunge uongo mwingine,,

Ushakalili mkuu kwba MTU kujulikana ni mkulima shaft avae mabuti na apige picha akiwa karibu na mahindi au karanga kama mzee wa Msoga.
 
Hili jambo ninajua wengi hamlifahamu lakini ukweli ni kwamba Diamond hategemei muziki ili kukuza utajiri wake, asilimia kubwa ya utajiri wake unatokana na kilimo.

Diamond ana mashamba makubwa makubwa sana na analima alizeti,karanga na mchele ingawa yeye binafsi hapendi kuliweka wazi suala hili.

Kwa hiyo wale ambao wanadhani diamond atafulia kipesa wanajisumbua tu ukimzibia huku jamaa anatoboa huku.

Mbali na suala hilo, Diamond pia ni mkali sana kwenye suala la kazi, yaani ukitaka kumjua Diamond ni katili namna gani wewe haribu kazi aliyokutuma baasi.
Ahsante TANASHA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikiwa yeye mwenyewe hapendi tujue, kimekuwasha nini uache shughuli zako uje kuanzisha mada kuhusu yasiyokuhusu?

Huu ndio hasa UMAMA, tena UMAMA KUBWA. Ukuwadi huishia ushogani. Ama ikiwa wewe ni mwanamke wake, basi niwie radhi maana ni ada ya mwali kumsifie bwana wake.
Hapo ungeandika BWANAKE ingenoga hiyooooooooooooooooooo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom