playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
Jamaa kamuwekea guarantee utadhani yeye ndo mgawa riziki HahahahaaaHawehawezi kufulia!!?....wewe ndo unaepanga?...kuna matajiri wakubwa na wamefulia sembuse yeye!....siombei afulie lakini huwezi tuhakikishia eti hawezi kufulia!!
Kubwa tu...yule bwana show off zote hilo kalikaushia WEWE NI NAAAAANI ukaseme unajiamini nn?..au mtoto c rizk unajua akimind unampa puru.Kuna tatizo kwani?
Kwa MWANAUME ALIYEKAMILIKA NI TATIZO sijajua una hali ganiKwani umbea ni tatizo?
Duuuh..mtamuua jamaa Wa watu kwa upuuzi Wa huyu mleta mada me nadhani tu deal na huyu huyu...yule bwana hana kosa katika hiliLabda kilimo cha OPIUM.
Team Kariakoo ndo nini?..jibu hoja huko mkipewa challenge mnatafuta mchawi nyaupakapusiKumiliki kampuni mtu zaidi ta mmoja mbona ni swala la kawaida wee jamaa hoja.yako imekaaa kishari sana utakua team kariaako ww saa kama msela anamiliki 45℅ izi zinamfanya awe mkurugenzi kabisa ata ka kusaga anamiliki 54℅ ila.mondi soo wa mchezo na ℅ zake
Si ndo tabia za diamond kaka hujui au?..yule si ndo MR SIFICHI KITU.Ushakalili mkuu kwba MTU kujulikana ni mkulima shaft avae mabuti na apige picha akiwa karibu na mahindi au karanga kama mzee wa Msoga.
DIAMOND KAWAHI KUTUONESHA HADI CHUPI KWENYE SHOW...ITAKUWA MASHAMBA??..unamtania nn mtandale yule...kesho utakuja kutuambia mabasi ya newdorce yake ila siri hahahahahaaaaaHili jambo ninajua wengi hamlifahamu lakini ukweli ni kwamba Diamond hategemei muziki ili kukuza utajiri wake, asilimia kubwa ya utajiri wake unatokana na kilimo.
Diamond ana mashamba makubwa makubwa sana na analima alizeti,karanga na mchele ingawa yeye binafsi hapendi kuliweka wazi suala hili.
Kwa hiyo wale ambao wanadhani diamond atafulia kipesa wanajisumbua tu ukimzibia huku jamaa anatoboa huku.
Mbali na suala hilo, Diamond pia ni mkali sana kwenye suala la kazi, yaani ukitaka kumjua Diamond ni katili namna gani wewe haribu kazi aliyokutuma baasi.
Hili jambo ninajua wengi hamlifahamu lakini ukweli ni kwamba Diamond hategemei muziki ili kukuza utajiri wake, asilimia kubwa ya utajiri wake unatokana na kilimo.
Diamond ana mashamba makubwa makubwa sana na analima alizeti,karanga na mchele ingawa yeye binafsi hapendi kuliweka wazi suala hili.
Kwa hiyo wale ambao wanadhani diamond atafulia kipesa wanajisumbua tu ukimzibia huku jamaa anatoboa huku.
Mbali na suala hilo, Diamond pia ni mkali sana kwenye suala la kazi, yaani ukitaka kumjua Diamond ni katili namna gani wewe haribu kazi aliyokutuma baasi.
Alikutuma kuweka mbolea shambani nini?Hili jambo ninajua wengi hamlifahamu lakini ukweli ni kwamba Diamond hategemei muziki ili kukuza utajiri wake, asilimia kubwa ya utajiri wake unatokana na kilimo.