Asilimia kubwa ya utajiri wa Diamond unatokana na kilimo

Kumiliki kampuni mtu zaidi ta mmoja mbona ni swala la kawaida wee jamaa hoja.yako imekaaa kishari sana utakua team kariaako ww saa kama msela anamiliki 45℅ izi zinamfanya awe mkurugenzi kabisa ata ka kusaga anamiliki 54℅ ila.mondi soo wa mchezo na ℅ zake
Team Kariakoo ndo nini?..jibu hoja huko mkipewa challenge mnatafuta mchawi nyaupakapusi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili jambo ninajua wengi hamlifahamu lakini ukweli ni kwamba Diamond hategemei muziki ili kukuza utajiri wake, asilimia kubwa ya utajiri wake unatokana na kilimo.

Diamond ana mashamba makubwa makubwa sana na analima alizeti,karanga na mchele ingawa yeye binafsi hapendi kuliweka wazi suala hili.

Kwa hiyo wale ambao wanadhani diamond atafulia kipesa wanajisumbua tu ukimzibia huku jamaa anatoboa huku.

Mbali na suala hilo, Diamond pia ni mkali sana kwenye suala la kazi, yaani ukitaka kumjua Diamond ni katili namna gani wewe haribu kazi aliyokutuma baasi.
DIAMOND KAWAHI KUTUONESHA HADI CHUPI KWENYE SHOW...ITAKUWA MASHAMBA??..unamtania nn mtandale yule...kesho utakuja kutuambia mabasi ya newdorce yake ila siri hahahahahaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili jambo ninajua wengi hamlifahamu lakini ukweli ni kwamba Diamond hategemei muziki ili kukuza utajiri wake, asilimia kubwa ya utajiri wake unatokana na kilimo.

Diamond ana mashamba makubwa makubwa sana na analima alizeti,karanga na mchele ingawa yeye binafsi hapendi kuliweka wazi suala hili.

Kwa hiyo wale ambao wanadhani diamond atafulia kipesa wanajisumbua tu ukimzibia huku jamaa anatoboa huku.

Mbali na suala hilo, Diamond pia ni mkali sana kwenye suala la kazi, yaani ukitaka kumjua Diamond ni katili namna gani wewe haribu kazi aliyokutuma baasi.

Boss lazima uwe mkali when is necessary

Big up kwake kuwekeza huko
 
Hili jambo ninajua wengi hamlifahamu lakini ukweli ni kwamba Diamond hategemei muziki ili kukuza utajiri wake, asilimia kubwa ya utajiri wake unatokana na kilimo.

Diamond ana mashamba makubwa makubwa sana na analima alizeti,karanga na mchele ingawa yeye binafsi hapendi kuliweka wazi suala hili.

Kwa hiyo wale ambao wanadhani diamond atafulia kipesa wanajisumbua tu ukimzibia huku jamaa anatoboa huku.

Mbali na suala hilo, Diamond pia ni mkali sana kwenye suala la kazi, yaani ukitaka kumjua Diamond ni katili namna gani wewe haribu kazi aliyokutuma baasi.
Alikutuma kuweka mbolea shambani nini?
 
Back
Top Bottom