wandu waruwa
Senior Member
- Dec 20, 2020
- 133
- 97
Wewe ni zero brain kweli ,kwani kufeli kwa mtu ni kwamba hana akili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mjingaWanatumia ndagu....yaani mali inakuwa si yako, wewe unakuwa ni wakala tu though watu wote wanajua wewe ndiyo mwenyewe.
Na namna ya kuitumia mali hiyo unapewa masharti.
Na ukishakufa na mali inapotea!!
Jamaa kapanicWe huelewi kitu!!
Ha ha ha - ngoja niwape jibu kwa nini wa la saba wanafanikiwa.Kama wewe ni fuso basi sina comment
Unaongea kwakutumia Akili au Hisia.Ha ha ha - ngoja niwape jibu kwa nini wa la saba wanafanikiwa.
Darasa la saba huwa hawafikirii sana kuhusu risk, hawaogopi kujitosa popote pale huku nyie wasoni ni waoga mno kujitosa wazima wazima as a result mnafeli..
High risk; high profit.
Wa la saba anaweza kuuza nyumba akapanga ili kupata mtaji..huku msomi hawezi risk hivyo!!
Leo umeonyesha nini kipo kichwani mwako. Umeongea facts zote. Kongole kwako👏👏👏Nakufundisha Reasoning
Previous Era (Back 20 Century)
_Tangu tupate uhuru ni sawa na kusema ndio tuna intake ya kwanza ya uzee, ikimaanisha wale walioishi kipindi hiko ndio wamezeeka sasa, hii intake ilikuwa na sifa mbili
1)wasomi wachache: almost wote walikula mashavu ya ajira na kipindi hiko hakukuwa na influence za kutajirika walitosheka
2)Waliofeli: walikuwa na chaguo la Biashara tu walifanikiwa huko.
Modern World (21' Century)
_Hiki ni kipindi linguine kabisa Intake yake ya watu wako na umri 20-40 age hiki ni kipindi Dunia imetawaliwa na Taarifa za kutajirika, misamiati kutajirika kwa siku unauwona ×10, kipindi kimejaa maarifa na taarifa.
_Sifa ya kipindi hiki wasomi ndio wana Desire kubwa sana ya kutajirika kuliko kiumbe chochote kile, wamekuwa wakibuni Biashara za kimkakati, njia za kisasa nk kufanikisha hilo.
_Sasahivi Ordinary graduate aliyeajiriwa utamsikia time ikifika nataka nikasimamie miradi YANGU tofauti na wale kipindi cha Previous Era (20 century).
_Mpaka sasa kuna kampuni nyingi sana zinazoenda kuwa kubwa ambazo Founder wake ni wasomi.
_Matokeo yake utakuja kuyaona miaka 30-40 mbele ambapo Intake hii itazeeka.
Hitimisho
mtoa mada upo sahihi endapo utafanya assessment yako kwa Previous Era ila kama utafanya Assessment Era ya sasa mambo ni tofauti kabisa.
Mpk utoboe kwny share/bonds lazima uweke mamilion kama sio ma billion ila kuweka hizi mil 10 utegemee miujiza utakesha mzee.Sio lazima uwe msomi ndo uweze kuwekeza kwenye bonds na shares mzeee
Muamke kwenda wapi?Wasomi tuamke
Mavazi mazuri wanauza, lakini hawayadizaini wala kutengeneza. Kufuata mzigo China hakuhitaji akili zaidi ya kukatia tiketi, wenye akili walisoma wakatengeneza vyombo vya usafiri wa kwenda China, abiria haitaji kuwa na akili zaidi ya ustaarabu. Ujinga ni gharama, ongeza maarifa haujachelewa, acha kusifia ujinga!Kumbe haya mavazi mazuri ni wao ndio wanaotuuzia alafu sisi tunapendeza.
Kumbe wao ndio wanaofuata mizigo China.
Wao hawajajenga maduka, maduka yamejengwa na wasomi (Engineers)Yaani kumbe yale majengo mazuri mazuri ya maduka tunayo yaona barabarani yanapendezesha miji yetu na barabara zetu ni wao wamejenga.
😀 Kwanini sasa uuze?Ninauza ndago, haiitaji kafara, million nne zinaingia kila baada ya nusu saa
Basi hakikisha mtoto wako anaishia darasa la saba ili awe na kipaji cha biashara.Kumbe mjinga aliyefeli la saba anakipaji cha biashara.
Basi tuendelee kusukuma gurudumu.
Appreciate brother,nimeskia nikilisema kwa watu hili Mara nyingii Sana,uhaba wa ajira kwa wasomi unawafanya wengi wafikirie kujiajiri zile ajira zilokua zinaonekana za watu wasosoma Ila ikichanganywa na usomi inakua big business.Leo watu wanauza juice,chakula,matunda,mazao kwa njia za kisasa Zaid,leo vijana wanalima,wanafuga kisasa na kutajirika haraka Sana.Nakufundisha Reasoning