Nakufundisha Reasoning
Previous Era (Back 20 Century)
_Tangu tupate uhuru ni sawa na kusema ndio tuna intake ya kwanza ya uzee, ikimaanisha wale walioishi kipindi hiko ndio wamezeeka sasa, hii intake ilikuwa na sifa mbili
1)wasomi wachache: almost wote walikula mashavu ya ajira na kipindi hiko hakukuwa na influence za kutajirika walitosheka
2)Waliofeli: walikuwa na chaguo la Biashara tu walifanikiwa huko.
Modern World (21' Century)
_Hiki ni kipindi linguine kabisa Intake yake ya watu wako na umri 20-40 age hiki ni kipindi Dunia imetawaliwa na Taarifa za kutajirika, misamiati kutajirika kwa siku unauwona ×10, kipindi kimejaa maarifa na taarifa.
_Sifa ya kipindi hiki wasomi ndio wana Desire kubwa sana ya kutajirika kuliko kiumbe chochote kile, wamekuwa wakibuni Biashara za kimkakati, njia za kisasa nk kufanikisha hilo.
_Sasahivi Ordinary graduate aliyeajiriwa utamsikia time ikifika nataka nikasimamie miradi YANGU tofauti na wale kipindi cha Previous Era (20 century).
_Mpaka sasa kuna kampuni nyingi sana zinazoenda kuwa kubwa ambazo Founder wake ni wasomi.
_Matokeo yake utakuja kuyaona miaka 30-40 mbele ambapo Intake hii itazeeka.
Hitimisho
mtoa mada upo sahihi endapo utafanya assessment yako kwa Previous Era ila kama utafanya Assessment Era ya sasa mambo ni tofauti kabisa.