Asilimia kubwa ya Wafanyabiashara na matajiri Tanzania walifeli Darasa la Saba

Wanatumia ndagu....yaani mali inakuwa si yako, wewe unakuwa ni wakala tu though watu wote wanajua wewe ndiyo mwenyewe.

Na namna ya kuitumia mali hiyo unapewa masharti.

Na ukishakufa na mali inapotea!!
Wewe ni mjinga
 
Kama wewe ni fuso basi sina comment
Ha ha ha - ngoja niwape jibu kwa nini wa la saba wanafanikiwa.

Darasa la saba huwa hawafikirii sana kuhusu risk, hawaogopi kujitosa popote pale huku nyie wasoni ni waoga mno kujitosa wazima wazima as a result mnafeli..

High risk; high profit.

Wa la saba anaweza kuuza nyumba akapanga ili kupata mtaji..huku msomi hawezi risk hivyo!!
 
Unaongea kwakutumia Akili au Hisia.
 
Matajiri wasomi Ni wengi kuliko hao unawaona wewe. Wasomi wamejikita kwenye share za makampuni makubwa na bond za serikali ambazo zina risk ndogo sana ukilinganisha na hao unaowaona na mabasi, malori, maduka na viwanda uchwara. Sema tu wasomi hawajionyeshi kwasababu Ni wasomi/wenye akili nyingi.
 
Leo umeonyesha nini kipo kichwani mwako. Umeongea facts zote. Kongole kwako👏👏👏
 
Ni kwel kabisa ukiwa na mpunga mrefu ni smart investment aiseh.
Ndo mana wansemaga tajir anazid kua tajir Maskin anazid kua maskin zaid.
 
Ukweli ni kua wengi wa wasomi nchi hii ni mizigo. Utakuta dogo kamaliza degree anabaki mitandaoni kutukana serikali na kufuatilia maisha ya harmonize na kajala! Ukimuuliza kwanini atakuambia ajira hana, na mtaji hana, lakini ana smartphone ya laki 3.
Wasomi wa Tz wana vyeti ila sio maarifa... Na hili ndio janga kuu kwa nchi.

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Kumbe haya mavazi mazuri ni wao ndio wanaotuuzia alafu sisi tunapendeza.

Kumbe wao ndio wanaofuata mizigo China.
Mavazi mazuri wanauza, lakini hawayadizaini wala kutengeneza. Kufuata mzigo China hakuhitaji akili zaidi ya kukatia tiketi, wenye akili walisoma wakatengeneza vyombo vya usafiri wa kwenda China, abiria haitaji kuwa na akili zaidi ya ustaarabu. Ujinga ni gharama, ongeza maarifa haujachelewa, acha kusifia ujinga!
 
Hakuna aliezaliwa awe tajiri na hakuna aliezaliwa awe masikini.Utajiri na umasikini mtu. mtu huamua mwenyewe ikiwa anautaka ama lah.Vinginevyo ni mjia tu ila kila mmoja wetu anayo nafasi sawa katika utajiri kitakachokutofautisha na wengine ni bidii yako katika kuutaka huo utajiri.
 
Appreciate brother,nimeskia nikilisema kwa watu hili Mara nyingii Sana,uhaba wa ajira kwa wasomi unawafanya wengi wafikirie kujiajiri zile ajira zilokua zinaonekana za watu wasosoma Ila ikichanganywa na usomi inakua big business.Leo watu wanauza juice,chakula,matunda,mazao kwa njia za kisasa Zaid,leo vijana wanalima,wanafuga kisasa na kutajirika haraka Sana.

Hakika naona mabilionea wengi vijana few years to come.Na hakika watashukuru kwa kukosa ajira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…