Asilimia kubwa ya Wafanyabiashara na matajiri Tanzania walifeli Darasa la Saba

Kuna fact kadhaa kweli ila zingine hapana...wasomi wengi biashara zao ukiangalia kwa jicho LA mbali utaona bado biashara zao hazitaleta ukwasi mkubwa mbeleni...wengi ni kampuni za kujiweka more smart lakin hamna kitu... vijana wanaopambana kariakoo etc ,pita kariakoo check maduka ya vijana baadhi uone wanavyofanya sales za kutisha..kuna mmoja i know ana hotel na miaka 10 ijayo atatingisha ila hana elimu .....sema hawana showoff za kushinda linkedin ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…