Asilimia kubwa ya walio katika nafasi kubwa wamechanganyikiwa, hawajui hatma zao

Asilimia kubwa ya walio katika nafasi kubwa wamechanganyikiwa, hawajui hatma zao

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Huu mchanganyiko ni mkubwa sana kwa Mawaziri, Manaibu, Makatibu Wakuu, Manaibu, Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Wakurugenzi na Wabunge ambao wanajua hawakuweza kutembea ilibidi wabebwe.

Wengi watarudi kwa Waganga na wengine Nyumba za Ibada kuomba Ghofilo kwa yale waliyopata nena na kutenda. Wakiomba wabakizwe katika nafasi zao.

Wengi hawaliii sababu ya kumpoteza Kamanda. Wanajililia wao na nafsi zao. Na kuwa na Maswali mengi kama umetendewa hivyo mti mbichi itakuaje kwao miti mikavu?
 
Napita sokoni, napishana na bodaboda huku na wazee wa vijiweni bado sijabahatika kuziona huzuni ambazo zinazungumziwa kwenye mitandao
Ahahahaha kuna watu huku wanasema wanajambo lao leo. Wanaenda kupiga vitu.
Kuna jamaa anasema si alisema anatamani kuongoza malaika akaongoze sasa,.
 
Kuna wale watoto pendwa sijui hali zao kwa sasa maana, baba mpendwa hayupo tena.
 
Watajijua ila nachojua vitu vitawatapika tu waliokaa kwa hili kwny nafasi hizo
 
Hata wakibadili gia angani haitawasaidia.
Safu mpya lazima ipangwe.
Uko sahihi. Mama anatakiwa kujiepusha na WANAFIKI! Muda huu watakuwa wako busy kumpigia simu na kumoa pole ii awateue na hivyo kuendelea kuvuruga nchi.

Apange safu yake ya watu wenye busara na hekima! Watakao tuunganisha Watanzania wa makundi yote katika jamii, watakao tanguliza maslahi ya nchi kwanza badala ya chama na wao wenyewe, nk.
 
Huu mchanganyiko ni mkubwa sana kwa Mawaziri, Manaibu, Makatibu wakuu, Manaibu, Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Wakurugenzi na Wabunge ambao wanajua hawakuweza kutembea ilibidi wabebwe.

Wengi watarudi kwa Waganga na wengine Nyumba za Ibada kuomba Ghofilo kwa yale waliyopata nena na kutenda. Wakiomba wabakizwe katika nafasi zao.

Wengi hawaliii sababu ya kumpoteza Kamanda. Wanajililia wao na nafsi zao. Na kuwa na Maswali mengi kama umetendewa hivyo mti mbichi itakuaje kwao miti mikavu?
MUNGU ashughulike nao haraka sna
 
Mtaani watu hawana habari wanaendelea na life kama kawa yani kama hakuna msiba,huwezi kuharibu uchumi wa nchi na wa watu halafu watu wakakupenda. Bye bye Jiwe
 
Back
Top Bottom