Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Mimi nasubiria tu kuwaona Wanafiki namna watakavyo badili gia angani!!
Sindio hapo ..watu wanafanya shughuli zao Kama hakuna kilichotokeaNapita sokoni, napishana na bodaboda huku na wazee wa vijiweni bado sijabahatika kuziona huzuni ambazo zinazungumziwa kwenye mitandao
Ahahahaha kuna watu huku wanasema wanajambo lao leo. Wanaenda kupiga vitu.Napita sokoni, napishana na bodaboda huku na wazee wa vijiweni bado sijabahatika kuziona huzuni ambazo zinazungumziwa kwenye mitandao
Uko sahihi. Mama anatakiwa kujiepusha na WANAFIKI! Muda huu watakuwa wako busy kumpigia simu na kumoa pole ii awateue na hivyo kuendelea kuvuruga nchi.Hata wakibadili gia angani haitawasaidia.
Safu mpya lazima ipangwe.
MUNGU ashughulike nao haraka snaHuu mchanganyiko ni mkubwa sana kwa Mawaziri, Manaibu, Makatibu wakuu, Manaibu, Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Wakurugenzi na Wabunge ambao wanajua hawakuweza kutembea ilibidi wabebwe.
Wengi watarudi kwa Waganga na wengine Nyumba za Ibada kuomba Ghofilo kwa yale waliyopata nena na kutenda. Wakiomba wabakizwe katika nafasi zao.
Wengi hawaliii sababu ya kumpoteza Kamanda. Wanajililia wao na nafsi zao. Na kuwa na Maswali mengi kama umetendewa hivyo mti mbichi itakuaje kwao miti mikavu?
Kina fulani watatakiwa kubadilika kwa sababu hakuna tena wa kuwakingia kifua. Hayo nadhani ndio mabadiliko psychologically anayoongelea mleta uzi.Hakuna kitakacho badilika trust me mkuu