Asilimia kubwa ya wanao nyoa vipara wana umeme

Habar JF

Kiukweli nimechunguza watu wanaopenda kunyoa kipara wanakuwa tiyari wameshepata umeme.
Ungejua maana ya kunyoa kipara hasa jeshini au katka intelligence agencies ungekaa kima ta ko wewe
 
Utakuja kusema tena na Wanawake wanaovaa mawigi nao wana "Umeme"...

Acheni nadharia za ajabu ajabu


Wengi mfano Mimi huji kukuta kichwa changu kina nywele kwa sababu ya mba maana nimetibu imeshindikana! na wengine wanaona kuwa na nywele nyingi ni usumbufu tu.
 
Sijaona anamaanisha umeme gani maana kuna aina nyingiza za umeme;
1. Umeme wa Gesi
2. Umeme wa Jua
3. Umeme wa Upepo
4. Umeme wa Maji

Au unamaana gani @uwomkyalo wa Ntimaro
 
Mtoa mada ni mpuuzi kabisa na hana maana hata kidogo. Mimi ni mnyoa kipara maarufu. Huu upumbavu wake sikubaliani nao kabisa
 
Inawezekana mtoa mada ana jambo la msingi lkn nahisi kashindwa jinsi ya kuliwakilisha,labda atutafsirie kwa lugha nyepesi na kitaalamu alikuwa ana maanisha nini kusema hivyo!
 
Na asilimia kumbwa wenye vitambi wanajitahidi kula kukimbia ngoma kuchukua nafasi yake
 
Kuna mmoja huyo ananyoa upara kuficha mvi!...ukimuuliza anajifanya hanaga nywele! Duuh nikashangaa!
 
Mtoa mada ni Mhaya kuu. Kumbuka umeme ulianzia mkoa kwao hivyo usimbishie
(Owomukyalo = wa duniani kwa kihaya)
Oooh! Real?...kwa hiyo ni expert na utafiti wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…