DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
- Thread starter
- #21
watu ukweli amuupendi .Mh! Akwende huko na utafiti wake, so afanye utafiti wa senene!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watu ukweli amuupendi .Mh! Akwende huko na utafiti wake, so afanye utafiti wa senene!!
wachamwinoyule wa magogoni nae hafugagi nywele unataka kusema anao?
Ungejua maana ya kunyoa kipara hasa jeshini au katka intelligence agencies ungekaa kima ta ko weweHabar JF
Kiukweli nimechunguza watu wanaopenda kunyoa kipara wanakuwa tiyari wameshepata umeme.
Hahahhhahhh....watu wamikoani sijui kwann amuelimiki...mkiambiwa ukweli mnaukataa...amjui kuwa dar nikifupi cha neno Tanzania.
vipara 80 +
20_
Yaani katisha sana, angekuwa rais nadhani January marope angepewa wizara ya nishati.Hahahaa, mkuu mtoa maada umetishaa, [emoji12] [emoji12] [emoji12]
haàhàaàyule wa magogoni nae hafugagi nywele unataka kusema anao?
Oooh! Real?...kwa hiyo ni expert na utafiti wake?Mtoa mada ni Mhaya kuu. Kumbuka umeme ulianzia mkoa kwao hivyo usimbishie
(Owomukyalo = wa duniani kwa kihaya)