enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,089
- 3,634
Naiwe oli wa dar?watu wamikoani sijui kwann amuelimiki...mkiambiwa ukweli mnaukataa...amjui kuwa dar nikifupi cha neno Tanzania.
Mlayekozilemu inywe Bantu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naiwe oli wa dar?watu wamikoani sijui kwann amuelimiki...mkiambiwa ukweli mnaukataa...amjui kuwa dar nikifupi cha neno Tanzania.
Next time usiongee usichokijuaMtoa mada ni Mhaya kuu. Kumbuka umeme ulianzia mkoa kwao hivyo usimbishie
(Owomukyalo = wa duniani kwa kihaya)
Mkuu sikujua kwamba na wewe ni mjinga kiasi hiki.Habar JF
Kiukweli nimechunguza watu wanaopenda kunyoa kipara wanakuwa tiyari wameshepata umeme.
Kwani kijiji hakiko duniani!!Next time usiongee usichokijua
Owomkyalo=wa kijijini.
Kwa hiyo unamaanisha tunaweza kusema maana ya door ni nyumba kisa mlango ni sehemu ya nyumba?Kwani kijiji hakiko duniani!!
Kasinge
chei owomuka.Naiwe oli wa dar?
Mlayekozilemu inywe Bantu.