Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
nimejaa tele sis JJKaka upo?
Vizuri kakanimejaa tele sis JJ
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]I thnk mr smart ur smart enough kutofautisha kati ya tangazo na vitu vya kawaida ...binafsi sihitaji
kila ninachokiandika waja wamenikaliaa.kooni basi ngoja nihamie jukwaa la dini niokoke
Challenge accepted....!!!Mbona kwenye nyuzi zingine huwa hucomment hivi??mi mwanaume anayezunguka zungukaa kwakweli huwa namvuaa thaman yake ......why usiwe ww ili uwe free??aaaagh kinda boring
Kama wanakulisha, kukuvisha na kukulaza labda, maisha yenyewe mafupi hayakila ninachokiandika waja wamenikaliaa.kooni basi ngoja nihamie jukwaa la dini niokoke
Pamoja lovely sis JJVizuri kaka
Yaan mtu sijawah mfata pm sijawah muomba ela ya bundle hakunielekeza namna ya kujiungaa,yaaan inshort hawalipii bill yangu yoyote ila roho zinawaumaa mm kuwepk hapa,kama sio uchawi ni nn??unakuwa na roho mbaya na usiye mjuaaa looohKama wanakulisha, kukuvisha na kukulaza labda, maisha yenyewe mafupi haya
I see, kila la heri kwenye ku-keep your mouth shutAlafu sikutegemeaga kama na ww una mambo ya chini chini kama haya, anyway let me kip my mouth shut ....
[emoji23] [emoji23] hahaha shoga huko sijawah hata fika mimiShogaaa naombaaa maelekezo namna ya kufika huko jukwaa la maadili manake hapa ntaja toleaa roho ....
Wasamehe tu ndugu, ndivyo walimwengu tulivyoYaan mtu sijawah mfata pm sijawah muomba ela ya bundle hakunielekeza namna ya kujiungaa,yaaan inshort hawalipii bill yangu yoyote ila roho zinawaumaa mm kuwepk hapa,kama sio uchawi ni nn??unakuwa na roho mbaya na usiye mjuaaa loooh
Na unaloliombaa litakurudiaaa ww na mawazo yako ...yaan watu mnapenda kuchokonoaa chokonoaa mtu ili aongee anyway patience issa key.....endeleaaa kusubiri hapo hapo unalotaka na halitakuwaaa milee na husda na hasada zako!!!I see, kila la heri kwenye ku-keep your mouth shut
Wengine ngoja tushuhudie tu tunaamini muda ni mwalimu mzuri
Naomba niishie hapa tafadhali
Sawa...You are rightNa unaloliombaa litakurudiaaa ww na mawazo yako ...yaan watu mnapenda kuchokonoaa chokonoaa mtu ili aongee anyway patience issa key.....endeleaaa kusubiri hapo hapo unalotaka na halitakuwaaa milee na husda na hasada zako!!!
Ikifika huo muda dont forget to tag me......im here to stay brah️