Asilimia kubwa ya wanaume wanaojielewa wapo PM

Mwanzo wa Ngoma ni lele watapita njia ndefu mwisho wa yote ni hapo panapotenganisha kiwiliwili na miguu tu (nyapu) basi
Yes i knw bt hawana mambo hayo ndugu yangu ni watu wenye busaraa zao
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mambembe mwanaume Kwa mwanamke ni nyapu kunanjia nyingi za kutumia akitaka kukuweka karibu ili akupe hotpipe
 
Ok dear nimekuelewaa ntakuwa more careful
 
Nasisi wa kucomment kwa nadra pia tuna maneno ya busara bila shaka
 
Najuaa itachoma kama pasi lakini mkubali mkatae wanaume wanaojielewaa na wa maana wapo PM ,sio hawa nguchiro tunaokimbizana nao na kuchambana nao kwenye thread,

mwanaume 24/7 yupo active ukipost kitu kacomment na kuandika shombo sijui hata kama anapataga muda wa kufuaa boxer ila hawa wa PM wapo jf tangu miaka na miaka na hawana tym ya kucomment wala nini Inshort wapo hapa kusocialise alafu umri wao kuanziaa 35 na kuendeleaa no blah blah

Jaman nilikuwa nshasema sitajibu message za Pm bt kusema ukweli Pm kutamu yaan kuna wababa wana maneno matamu ya kunipa moyo
Watu wanaojielewa na kutoaa ushauri wa maaana/wa maisha na namna ya kudeal na watu tofauti kutoka sehemu mbali mbali esp wa jf

Jaman kumbe nilikuwaa nakosa mengi eeehe kwa kutowajibu ,yaan mpkaa naanza kujutaa (kama nawaona wenye mabwana zao watakavyo nuna)

Yaaan mtu anakusifiaaa utasema sijui nn jomoni mpka unahisi ndo mara ya kwanza kusikiaa yale maneno(wanawake tunapenda maneno matamu sio makavu)

Lucky enough Pm imenipatiaa mtumishi wa bwana anayenipeleka vacation easter, kwa kweli im not lucky im blessed (kaniambiaa anataka nikatoe stress za jf)
Mungu anaipe nini mimi Mambembe?? guniaa la chawa nijikune?wacha nikale raha miyee.....

Bila kusahau kuna notification ya mtu mmoja nilikuwa namuheshimu sana nimeionaa eti Anasema alikuwa ananisubiri nitamfate Pm daaah nimesikitikaa saaanaa,yaan mtu kisa kumsifiaaa akadhani kuwa nataka kumuibiaa/kumtapeli yani nilivyoona notifaction ya comment yake nilimshusha saana anyway life must goes on mnazidi kunikomaza kiakili....

Pm is my new home.........and im there to stay

Mambembe the unstoppable
The queen of clapback
Ikikuuma chomoa
Kwani we nindugu yake yule money penny??
 
PM ni kesi...wAtu wanakusanya ushahidi tu siku wanapanda vichaa wana screenshot tu wanaleta kwenye thread

Do not go to PM
 
Back
Top Bottom