hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
hahaaa acha unaaaAnatafutwa mtu hapo!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaa acha unaaaAnatafutwa mtu hapo!!
acha kabisaaa....watu wanajua kufanya advertising""Mtu analazimisha wanaume wanaojielewa wapo PM since when!?... Maana ya social network inaharibika sasa!!
Ingia PM wewe!!..angetangaza ofa ya safari Uvinza ungemzidi josee kuwahi nafasi ujue!!..acha kabisaaa....watu wanajua kufanya advertising""
Ulale unono chombo cha Smart911Hahahahaha Kuna member mwingine nae alikuwa anajuhudi sana siku za hivi karibuni usinambie nae ni walewale??? Teh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mimi ndrukiii [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Muwe na usiku mwemaaaa
Cc Smart911
Naona huko afrika kusini alipo kafilisika sasa anatafuta nauliErick Otieno Huyo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
tulia hvyo hivyo ..usije kuikimbia das"lam mkuu kwaajili ya madeniNdio kwanza nahangaika na kamtaji kangu ka kuuza soksi mkuu!!..Ngoja kafaida karudi rudi kidogo!.
hahaa wataka ...anifilisi then uje Jf kunifungulia TRD mnicheke "" aiseee hanipati mtuIngia PM wewe!!..angetangaza ofa ya safari Uvinza ungemzidi josee kuwahi nafasi ujue!!..
nime replyNajuaa itachoma kama pasi lakini mkubali mkatae wanaume wanaojielewaa na wa maana wapo PM ,sio hawa nguchiro tunaokimbizana nao na kuchambana nao kwenye thread,
mwanaume 24/7 yupo active ukipost kitu kacomment na kuandika shombo sijui hata kama anapataga muda wa kufuaa boxer ila hawa wa PM wapo jf tangu miaka na miaka na hawana tym ya kucomment wala nini Inshort wapo hapa kusocialise alafu umri wao kuanziaa 35 na kuendeleaa no blah blah
Jaman nilikuwa nshasema sitajibu message za Pm bt kusema ukweli Pm kutamu yaan kuna wababa wana maneno matamu ya kunipa moyo
Watu wanaojielewa na kutoaa ushauri wa maaana/wa maisha na namna ya kudeal na watu tofauti kutoka sehemu mbali mbali esp wa jf
Jaman kumbe nilikuwaa nakosa mengi eeehe kwa kutowajibu ,yaan mpkaa naanza kujutaa (kama nawaona wenye mabwana zao watakavyo nuna)
Yaaan mtu anakusifiaaa utasema sijui nn jomoni mpka unahisi ndo mara ya kwanza
Huyu nokia anatamani kuwa mimi bad enough sina tym naye kwa leo nimshambuliwa na more than 5account zote zimefunguliwa leo so nshawajuaa hawanipi pressure we just imagine mtu kafungua account leo bt anakujuaa wwYeeeeeesssssssssuuu mi chokambaya tu
Aseeehhh naogopa sana id mpya mtu anakuchora tu afu anakucheka kwa dharaaaaaaauuuuuuuuuu lol!!! Ndomana nikasema kuwa makini sana
Cc Smart911
Hivi mimi naweza kukusifiaa bilaa kuonana na ww??ni maongezi tu ya kawaida na sio kutakana sina muda wakutafuta bwana jfHao wanataka nyapu lako tu utamsifiaje mtu mzuri kaumbika na blah blah kama hujamuona muonekano wake labda wanadata na maandishi tu Ila all in all nyapu ndio muhimu Sana kuliko huo muonekano wako
Mwanzo wa Ngoma ni lele watapita njia ndefu mwisho wa yote ni hapo panapotenganisha kiwiliwili na miguu tu (nyapu) basiHivi mimi naweza kukusifiaa bilaa kuonana na ww??ni maongezi tu ya kawaida na sio kutakana sina muda wakutafuta bwana jf
Ndugu yangu huyu nokia asikudanganye kwanza kafunguaa account mpya leo kwa ajili ya kazi ya kunipaka matope na kashasababisha nikala ban ndp sababu simjibu yeye ndo anajibu watuNaona huko afrika kusini alipo kafilisika sasa anatafuta nauli