Asilimia kubwa ya wanaume wanaojielewa wapo PM

Asilimia kubwa ya wanaume wanaojielewa wapo PM

Hahahahaha Kuna member mwingine nae alikuwa anajuhudi sana siku za hivi karibuni usinambie nae ni walewale??? Teh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mimi ndrukiii [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Muwe na usiku mwemaaaa


Cc Smart911
Ulale unono chombo cha Smart911
 
Ingia PM wewe!!..angetangaza ofa ya safari Uvinza ungemzidi josee kuwahi nafasi ujue!!..
hahaa wataka ...anifilisi then uje Jf kunifungulia TRD mnicheke "" aiseee hanipati mtu
 
Najuaa itachoma kama pasi lakini mkubali mkatae wanaume wanaojielewaa na wa maana wapo PM ,sio hawa nguchiro tunaokimbizana nao na kuchambana nao kwenye thread,

mwanaume 24/7 yupo active ukipost kitu kacomment na kuandika shombo sijui hata kama anapataga muda wa kufuaa boxer ila hawa wa PM wapo jf tangu miaka na miaka na hawana tym ya kucomment wala nini Inshort wapo hapa kusocialise alafu umri wao kuanziaa 35 na kuendeleaa no blah blah

Jaman nilikuwa nshasema sitajibu message za Pm bt kusema ukweli Pm kutamu yaan kuna wababa wana maneno matamu ya kunipa moyo
Watu wanaojielewa na kutoaa ushauri wa maaana/wa maisha na namna ya kudeal na watu tofauti kutoka sehemu mbali mbali esp wa jf

Jaman kumbe nilikuwaa nakosa mengi eeehe kwa kutowajibu ,yaan mpkaa naanza kujutaa (kama nawaona wenye mabwana zao watakavyo nuna)

Yaaan mtu anakusifiaaa utasema sijui nn jomoni mpka unahisi ndo mara ya kwanza
nime reply
 
Wa pm mnaitwa naona kawasubri hamtokei kaamua kuwafuata
 
Yeeeeeesssssssssuuu mi chokambaya tu

Aseeehhh naogopa sana id mpya mtu anakuchora tu afu anakucheka kwa dharaaaaaaauuuuuuuuuu lol!!! Ndomana nikasema kuwa makini sana


Cc Smart911
Huyu nokia anatamani kuwa mimi bad enough sina tym naye kwa leo nimshambuliwa na more than 5account zote zimefunguliwa leo so nshawajuaa hawanipi pressure we just imagine mtu kafungua account leo bt anakujuaa ww
 
Hao wanataka nyapu lako tu utamsifiaje mtu mzuri kaumbika na blah blah kama hujamuona muonekano wake labda wanadata na maandishi tu Ila all in all nyapu ndio muhimu Sana kuliko huo muonekano wako
 
Hao wanataka nyapu lako tu utamsifiaje mtu mzuri kaumbika na blah blah kama hujamuona muonekano wake labda wanadata na maandishi tu Ila all in all nyapu ndio muhimu Sana kuliko huo muonekano wako
Hivi mimi naweza kukusifiaa bilaa kuonana na ww??ni maongezi tu ya kawaida na sio kutakana sina muda wakutafuta bwana jf
 
Hivi mimi naweza kukusifiaa bilaa kuonana na ww??ni maongezi tu ya kawaida na sio kutakana sina muda wakutafuta bwana jf
Mwanzo wa Ngoma ni lele watapita njia ndefu mwisho wa yote ni hapo panapotenganisha kiwiliwili na miguu tu (nyapu) basi
 
Naona huko afrika kusini alipo kafilisika sasa anatafuta nauli
Ndugu yangu huyu nokia asikudanganye kwanza kafunguaa account mpya leo kwa ajili ya kazi ya kunipaka matope na kashasababisha nikala ban ndp sababu simjibu yeye ndo anajibu watu
 
Back
Top Bottom