Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Mmhhhh yaaan namanisha ivi sio multiple ID sababu kuna watu wana simu nne tano nazote wamepakua JF apps ,nazote zipo Active km ulivyosema wanaume above 35 niwatamu ( ila niwaume za watu hapo usikwepe).Wee usiniambiee?watag basi mamods ili waunge kama multiple id jomoni
Love u piaaa.....dear
Mmmmh hapana sio mmMmhhhh yaaan namanisha ivi sio multiple ID sababu kuna watu wana simu nne tano nazote wamepakua JF apps ,nazote zipo Active km ulivyosema wanaume above 35 niwatamu ( ila niwaume za watu hapo usikwepe).
Ila kabisa huyu mtu alopo kichwan mwangu nampenda lkn uandishi wake niwako kabisa .
Naomba km niww ujue nakupenda tu siku zote
Dume? kwa hiyo huenda ni ndugu na kaogeLajiunga tarehe 2.3.2018 kwa id hii, atakuwa ana id myingine huyu alafu yaweza akawa dume.
Mkuu hawa walisababishia ban ..wana group lao wananioneaa wivu wameniita majina kibao bt this tym around im not buyin they are bulshit dats why unaona wanajicommentishaa nawapa dozi kilaa siku so dnt bothered kuhangaika naoDume? kwa hiyo huenda ni ndugu na kaoge
Kumbe ni JALUO MAN..... [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dume hilo mkuu ERICK OTIENO
hahaa list ipi hiyo mkuu,....
hahahaha!!.. Jaribu tu kwenda huko PM ila kuna mawakala wa Badoo kibao, acha nibaki huku Open kulinda nafasi yako!!..
huko pm mkuu hpana aiseee ..."" ukiusoma vyema huu Uzi utagundua kuwa....kuna watu wanavipaji vya marketing manager""