Asilimia kubwa ya wanaume wanaojielewa wapo PM

Asilimia kubwa ya wanaume wanaojielewa wapo PM

Kumbe Lengo Ni Kuwasifia Wanaume Walio 30+

Wanaume Wanaoshinda Pm Mbwembwe Tuuuuu Za Kuzuga

Msalime Baba Mchungaji

Cc Money Penny
Hayo umeyasemaa wewe......by the way sio mchungaji bt ni mtumishi tu wa Mungu anataka kunijengaa kiroho[emoji120][emoji120]
 
Be careful jamani wengine hawana jema huko anakujia na maneno lainiiii ukiingia kichwa kichwa ... Yale yaleeee ya kuanikwa

Cc Smart911
Shooo asanteeee ilaa naombaa kwanza uniitie kapeace aje anipe huo ubuyu manake nangojeka mwenzenu .......i knw how to play smart dear.....nashukuru kwa kunikumbusha [emoji813]️[emoji813]️[emoji813]️[emoji813]️
 
Mnajadili mpira, siasa, burudani, biashara PM??
Sema unapenda kutongozwa PM na sasa 7natala waje huko kwa wingi, mafala watakuja, acha umalaya.
Kwani ww umalayaa unautafsiri vipi labda?? Alafu hatujadili mapenzi yote uliyoyataja yanajadiliwa incase u dnt knw[emoji6]
 
Smart911 my king I believe in you. I know Huwezi kuniangusha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mwenzangu bora uwe unamkumbusha manake kuna watu wanaweza mlaghai akajikutaa anazitoaa bilaa kupenda[emoji23][emoji23]
 
Shooo asanteeee ilaa naombaa kwanza uniitie kapeace aje anipe huo ubuyu manake nangojeka mwenzenu .......i knw how to play smart dear.....nashukuru kwa kunikumbusha [emoji813]️[emoji813]️[emoji813]️[emoji813]️
kapeace mamiii ebu come this way unaitwa

Cc Smart911
 
Waite waiteeee wajae ili ukawa taperi kama ulivonifanyia..Erick Otieno Utanilipa tu Hele yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] The list unahangaika sana na mimi jamani khaaa mpka umefungua account mpya ya kunifata fata anyway sina tym na ww [emoji706][emoji706]
 
Kwani ww umalayaa unautafsiri vipi labda?? Alafu hatujadili mapenzi yote uliyoyataja yanajadiliwa incase u dnt knw[emoji6]
Mnajadili michezo PM?? This is weird! Hapa mnawekana sawa tu kugongana, usizuge!! Alafukuna uwezekano wewe ni dume.
 
Back
Top Bottom