Asilimia kubwa ya wanaume wanaojielewa wapo PM

Asilimia kubwa ya wanaume wanaojielewa wapo PM

Najuaa itachoma kama pasi lakini mkubali mkatae wanaume wanaojielewaa na wa maana wapo PM ,sio hawa nguchiro tunaokimbizana nao na kuchambana nao kwenye thread,

mwanaume 24/7 yupo active ukipost kitu kacomment na kuandika shombo sijui hata kama anapataga muda wa kufuaa boxer ila hawa wa PM wapo jf tangu miaka na miaka na hawana tym ya kucomment wala nini Inshort wapo hapa kusocialise alafu umri wao kuanziaa 35 na kuendeleaa no blah blah

Jaman nilikuwa nshasema sitajibu message za Pm bt kusema ukweli Pm kutamu yaan kuna wababa wana maneno matamu ya kunipa moyo
Watu wanaojielewa na kutoaa ushauri wa maaana/wa maisha na namna ya kudeal na watu tofauti kutoka sehemu mbali mbali esp wa jf

Jaman kumbe nilikuwaa nakosa mengi eeehe kwa kutowajibu ,yaan mpkaa naanza kujutaa (kama nawaona wenye mabwana zao watakavyo nuna)

Yaaan mtu anakusifiaaa utasema sijui nn jomoni mpka unahisi ndo mara ya kwanza kusikiaa yale maneno(wanawake tunapenda maneno matamu sio makavu)

Lucky enough Pm imenipatiaa mtumishi wa bwana anayenipeleka vacation easter, kwa kweli im not lucky im blessed (kaniambiaa anataka nikatoe stress za jf)
Mungu anaipe nini mimi Mambembe?? guniaa la chawa nijikune?wacha nikale raha miyee.....

Bila kusahau kuna notification ya mtu mmoja nilikuwa namuheshimu sana nimeionaa eti Anasema alikuwa ananisubiri nitamfate Pm daaah nimesikitikaa saaanaa,yaan mtu kisa kumsifiaaa akadhani kuwa nataka kumuibiaa/kumtapeli yani nilivyoona notifaction ya comment yake nilimshusha saana anyway life must goes on mnazidi kunikomaza kiakili....

Pm is my new home.........and im there to stay

Mambembe the unstoppable
The queen of clapback
Ikikuuma chomoa
huna lolote unafanya matangazo humpati mtu, huko PM wataku*mba mpaka kidud* kivimbe.
 
Sibishani na wewe ila acha kujiona upo special.kufatwa na kutongozwa Mp usione Dili sana,si kila alie humu ana shida za kutongoza kama unavyofikiria.
Pili Uti sio ukilema,acha kuchonga
Nisipojionaa special unategemeaa nani ananionee???najikubali kwanza mwenyewe then wengine ndo wanafataa

Kuhusu U.T.I was just jokin get well soon mgonjwaa[emoji6]
 
huna lolote unafanya matangazo humpati mtu, huko PM wataku*mba mpaka kidud* kivimbe.
Hahaha sijawah kufikiriaa kujipromote ....ilaa nimeshangaa tu pm yangu kujaa sms alafu good enough za wanaojielewaa[emoji813]️[emoji813]️

So plz relax
 
Mwenzangu bora uwe unamkumbusha manake kuna watu wanaweza mlaghai akajikutaa anazitoaa bilaa kupenda[emoji23][emoji23]
Khakhakakhaaaaaaa he also knows how to play a game with these kinda of wimenoooo [emoji23] [emoji23] [emoji23].. He's smart indeed


Cc Smart911
 
Mnajadili michezo PM?? This is weird! Hapa mnawekana sawa tu kugongana, usizuge!! Alafukuna uwezekano wewe ni dume.
Kweli tunajadili mambo mengi mpkaa academics issues....[emoji16]
 
Nisipojionaa special unategemeaa nani ananionee???najikubali kwanza mwenyewe then wengine ndo wanafataa

Kuhusu U.T.I was just jokin get well soon mgonjwaa[emoji6]
Mfyenge kweli we demu.usikute una matege
 
Khakhakakhaaaaaaa he also knows how to play a game with these kinda of wimenoooo [emoji23] [emoji23] [emoji23].. He's smart indeed


Cc Smart911
Yaaan na hivi ulivyomsifiaa siku ile najuaankuna wanao mzengeaaa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Yaaan na hivi ulivyomsifiaa siku ile najuaankuna wanao mzengeaaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Tehtehteh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wacha nifunge domo langu doh [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] sasa mbona watoa siri mamito wazeiya wa pm hawamind kweli???


Cc Smart911
 
Back
Top Bottom