Asilimia kubwa ya wanawake wa mijini wanajiuza ila wanabagua dau na mazingira ya kujiuzia

Asilimia kubwa ya wanawake wa mijini wanajiuza ila wanabagua dau na mazingira ya kujiuzia

Unasema Mil.5 na kinga juu!!!
Hata laki kavu kavu nakupa nini 5M
Napaka asali, UKIMWI nitausikia kwenye bomba.

Kiukweli mie mbele ya pesa, nakuwa zaidi ya Malaya.
Sema tu sijipangi Jolly au Corner.
Ila ukiingia kwenye 18 zangu SIKUACHI, maadam sijazaliwa na wewe tumbo moja.
 
Hawawezi kuja hapa.....!!wakija mnistue nishuhudie mpambano!!lakin kama kuna ka ukwel hivi...
 
Mkuu huko ni mbali saana.we waambie una dola tu kisha umuoneshe hapo yuko tayari kuchkua dola mia
Lkn ukimpa laki 3 mtapIgana usiku kucha

Sent from Calculator Phone vesion007
 
Tuwe wakweli kabisaa hasa madada zetu
Najua wengi hamuwez kwenda kujipanga pale jolly, au corner bar au mwanamboka,
Najua wengi wenu hamuwazi kukubaliana elfu 5 kwa fupi time,

Ila wengi ukimwambia kuna milion moja hapa, kwa DK 20 hata mke wa waziri atakubali tu, humpeleki kwa babu kwenye mabox unampeleka hotel nzuri free Wi-Fi, kiyoyozi, analetwa Na taxi, anakula supu ya kongoro , akimaliza unampa 1000,000 Hakuna wa kukataa usawa huu,


Akikataa

Mwambie naweka mezani 5 milion
Kinga muhim inatumika,
Hatajua MTU yeyote
Then mnaenda Selena mbona hata mke wa kagame unaenda naye,

Tuwe wawazi kila mwanamke ispokuwa 1% ya wanawake ambapo kuna mama zetu, lakini walio chini ya miaka 40 wanajiuza,

Hii inatokana Na ugum wa maisha ,tamaa, Na kutoridhika, kama hamuamini fanya research, usiende kichwa kichwa kuwa nataka kukununua hapana, tumia Busara maana hata ukienda dukani kununua Sukari hulazimishi kusema HEBU LETA SUKARI unasema naomba uniuzie ****


Kumbukeni kutumia mifuko ya kandoro ambayo haina maji
mkuu umeoa?
 
Ata laki? Njoo nik
Unasema Mil.5 na kinga juu!!!
Hata laki kavu kavu nakupa nini 5M
Napaka asali, UKIMWI nitausikia kwenye bomba.

Kiukweli mie mbele ya pesa, nakuwa zaidi ya Malaya.
Sema tu sijipangi Jolly au Corner.
Ila ukiingia kwenye 18 zangu SIKUACHI, maadam sijazaliwa na wewe tumbo moja.
nikupe hiyo hela
 
Toa hata mifano miwili mitatu mkuu. Naona kuna mambo hayapo sawa kabisa zaidi ya dharau kwa wanawake.

Sent from My Android Device
 
Kuna mwanataaluma mmoja anasema hakuna mwanamke asiyejiuza ambaye ana umri chini ya miaka 45.

Isipokua kwenye baadhi ya mataifa ya ulaya na uarabuni.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unasema Mil.5 na kinga juu!!!
Hata laki kavu kavu nakupa nini 5M
Napaka asali, UKIMWI nitausikia kwenye bomba.

Kiukweli mie mbele ya pesa, nakuwa zaidi ya Malaya.
Sema tu sijipangi Jolly au Corner.
Ila ukiingia kwenye 18 zangu SIKUACHI, maadam sijazaliwa na wewe tumbo moja.
Madame B umenichekesha sana miss u jamaan
 
Sijakuelewa mleta mada usema hayo ktk misingi ya utafiti? Au Uzoefu? Au kutegemeana na nini? Watu huwa hawajisemei tu toka hewani ni lazima hoja yako ijengwe Kwenye msingi flani Kwa mfano taarifa za takwimu mbalimbali n.k na pia ningependa kujua Kama ni utafiti Kwa mfano unapaswa kusema ni hisani ya akina Nani mfano : Twaweza, Redent n.k! Kama wanawake wanajiuza kirahisi hivyo basi na upande wa wateja ( wanunuzi wa huduma/ bidhaa) Yani wanaume basi nako kutakuwa na tatizo vilevile!
 
Back
Top Bottom