Tuwe wakweli kabisa hasa madada zetu najua wengi hamuwezi kwenda kujipanga pale jolly, au corner bar au mwanamboka, najua wengi wenu hamuwazi kukubaliana elfu 5 kwa fupi time.
Ila wengi ukimwambia kuna milioni moja hapa, kwa DK 20 hata mke wa waziri atakubali tu, humpeleki kwa babu kwenye mabox unampeleka hotel nzuri free Wi-Fi, kiyoyozi, analetwa na taxi, anakula supu ya kongoro, akimaliza unampa 1000,000 hakuna wa kukataa usawa huu.
Akikataa mwambie naweka mezani 5 milion, kinga muhimu inatumika, hatajua mtu yeyote then mnaenda Serena mbona hata mke wa kagame unaenda naye.
Tuwe wawazi kila mwanamke ispokuwa 1% ya wanawake ambapo kuna mama zetu, lakini walio chini ya miaka 40 wanajiuza.
Hii inatokana na ugumu wa maisha, tamaa, na kutoridhika, kama hamuamini fanya research, usiende kichwa kichwa kuwa nataka kukununua hapana, tumia busara maana hata ukienda dukani kununua sukari hulazimishi kusema hebu leta sukari unasema naomba uniuzie.
Kumbukeni kutumia mifuko ya kandoro ambayo haina maji[/QUOTE
Aaaah acha kuongea ukweli basi👏👏👏