The conceited
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 449
- 500
hii post nilionaga uzushi ila leo nimeelewa mana ake,mdada mkali,anijiheshimu,anakazi yake nimemwambia naweka kilo mezani kajaa kwenda kuliwa
hahaaa mkuu ulikumbuka 3bombaUsiku mwema jamani...ngoja nikafanye anasa
hahahaaa mtoa mada katibua hali ya hewa aiseeemkuu huu uchunguzi wako mbona ngumu kumeza
si bora nikanunue mdoliMi 5 per dak 20 kisa mbunye
aiseee HAHAAAAAAUnasema Mil.5 na kinga juu!!!
Hata laki kavu kavu nakupa nini 5M
Napaka asali, UKIMWI nitausikia kwenye bomba.
Kiukweli mie mbele ya pesa, nakuwa zaidi ya Malaya.
Sema tu sijipangi Jolly au Corner.
Ila ukiingia kwenye 18 zangu SIKUACHI, maadam sijazaliwa na wewe tumbo moja.
hahaaaa watu wewe ...maambo ni hvi ..hahaaaa nahisi ungekuwa karibu nae ungemmeza huyuKuandika kwenyewe hujui kafe mbele.... wanawake wote tunajiuza mkuu ulikua hujui?? ile mahari mnazolipaga mnalipiaga nini kama sio kumnunua mwanamke kutoka kwao?
hhh[emoji23][emoji23] yn hii JF tunaipeleka inapotakiwa "YAJAYO YANAHUZUNISHA"heshima gani sasa imekosewa kusema ukweli ni kukusewa heshima
alafu sijui weee jamaa msabato sijui umeokoka mana pigo zako sizielewi bob
Duhhii post nilionaga uzushi ila leo nimeelewa mana ake,mdada mkali,anijiheshimu,anakazi yake nimemwambia naweka kilo mezani kajaa kwenda kuliwa
Unasema Mil.5 na kinga juu!!!
Hata laki kavu kavu nakupa nini 5M
Napaka asali, UKIMWI nitausikia kwenye bomba.
Kiukweli mie mbele ya pesa, nakuwa zaidi ya Malaya.
Sema tu sijipangi Jolly au Corner.
Ila ukiingia kwenye 18 zangu SIKUACHI, maadam sijazaliwa na wewe tumbo moja.
We ukipewa utakataa!??
Nakaa mjini na sijawahi+siwezi kujiuza ukiniambia njoo kuna million 15 hapa sikujibu nakublock tu kila mahali foolish
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala hana kazi.aiseee HAHAAAAAA
DAHHHH MADAME B bwana bahasha wako kazi anayo aiseee
hahaaa hii qaliWala hana kazi.
Keshanizoe...maana wrote tumekutana udangani
HsHahaKwani inaishaa?!
Toeni pesa acheni kulalamika
KabisaWanawake wengi hujiuza ila soko huwa tofauti.
Kuna wa magengeni
Soko la kata
Mini supermarkets
Supermarkets
shopping mall
Why?
Kwakuwa wapo na status tofauti sanaaa na wababa wengi hawajui kitu.
Kuna siri kubwa sana kwa wanawake waoneni tuu hivyo muwaonavyo, wanahatari sana hawa watu
HahahaMi 5 per dak 20 kisa mbunye