joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Asikudanganye mtu akina Mama wameamka na wako vizuri sana kiuchumi. Naweza sema asilimia kubwa ya familia vijijini na kwa baadhi mijini zinaendeshwa na wanawake.
Inatupasa wanaume kuamka na kusimama kidete maana wengi wa wanawake wakipata kipato huleta jeuri.
Angalizo: Madanga wapo, na hawawezi kuisha maana hata kwenye maandiko tunasoma habari za wanawake walioishi maisha ya kwa kudanga au kufanya umalaya.
Eee Mwenyezi Mungu uturehemu na kurudisha umoja na upendo ktk ndoa, na kizazi chenye maadili
Hizi ndo akili za baadhi ya wanaume hapa bongo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]!! Inasikitisha sana.Habari za muda.
Polen na majukum ya kujenga Taifa, kwa sisi tuliolala, tutawasaidia kupaka rangi huko mbelen, maisha yanaenda.
Back to the Topic.
Mwanamke kaumbiwa maisha mazuri na rahisi.
Kitonga ni Haki Yao.
Labda Kama hujafunzwa kuwatambua hao viumbe.
MWANAUME ndio hapaswi Kupenda kitonga
Yani mtoa mada kazidiwa maarifa hata na gorilla tu,, na sio gorilla tu wanyama wote mwenye nguvu ndiye anapanda jikeMwenye kisu kikali ndio mla nyama that's nature.. hata Gorillas dating Yao mwanamke huchukuliwa na the strongest Gorilla..[emoji23][emoji23][emoji23]
Punguza jazba mama.Tunawarithi bibi zetu kina Esta waliolewa kwa wafalme na watawala ili kusaidia jamii zao,, na Mungu aliwabariki kiroho safi wewe Ni kitu gani katika hayo hata ujitie kutusimanga!! Ungekuja na mjadala wa kujadili wanaume wenzio wanaopenda mteremko,, ningekuona wa maana vinginevyo unatuonea wivu tu,,
Ila Ni Raha kuwa na mwanaume mwenye pesa nyie acheni tu unapata utakacho na kwa wakati genye Ni za kugusa tu sababu ya[emoji385][emoji385],,, Asante Mungu
Sio kwamba wewe ndo umesoma comment kww hisia kali?Punguza jazba mama.
Hutakiwi kutumia hisia kali kujibu.
Btw, nayaheshimu mawazo yako, una huo uhuru na sina budi kukbaliana na wewe.
Toa majambazi wanao uawa sana, ...toa me wanao kufa tarime, mugumu, vitani km DRC,somalia nk,...Toa wazamiaji. Toa wanaopata ajali barabarani km boda boda!! madereva wengi ni me!! toa wanao kufa ajali za mikoani,...Wimbi kubwa sababu wanawake wanazaliwa wengi kuliko wanaume pili kwenye hao wanaume toa mashoga, tatu toa wasiotaka kuoa haya hapo mnabakia wachache sana
huyo ana siri kuuubwa sana!! usimchukulie poa!Wanawake wenye hela kuolewa na mwanaume asiye na hela inatokea very rarely.
wanawake wamekuwa machawa na wapenda vitonga, mpaka wameshawaambukiza huo ujinga kaka zao.Habari za muda.
Polen na majukum ya kujenga Taifa, kwa sisi tuliolala, tutawasaidia kupaka rangi huko mbelen, maisha yanaenda.
Back to the Topic.
Iko hivi, naleta huu uzi kutokana na uzoefu nliopata mimi binafsi na kwa watu walionzunguka, jamii.
Nimenotice kitu cha kushangaza sana, kwa hii miaka ya hivi karibu, sijui ni ugumu wa maisha, kupenda kitonga au kukataa tamaa na maisha.
WANAWAKE.
Labda niwaulize swali mmoja tu, nini kinawapelekea kutaka kuolewa ili kupata unafuu wa maisha? Ama kulazimisha ndoa kwa haraka sana?
Kama mmenotice limetokea wimbi kubwa sana la wanawake ambao wako desperate sana na ndoa, wako tayari kufanya/kumfanyia chochote mwanaume aliekidhi vigezo wanavyovitaka wao ili tu waolewe nae.
Nina mifano hai, kutoka kwa wanawake wenyewe wakikiri kwa vinywa vyao, kua wapo tayari kuolewa na mwanaume mwenye hadhi/pesa ili tu maisha yao yaende vizuri, hayo mengine watavumilia huko huko.
Madhara ya haya mnajua yamekua ni yapi?
1. Kutodumu kwa ndoa
2.Ongezeko la watoto wasiopata malezi ya baba
3.Ongezeko la wimbi la udangaji
4.Ukatili wa kijinsia.
5.Vifo vya wivu wa kimapenzi.
Labda nseme hivi, wanawake wengi sana, hasa kutokana na ugumu wa maisha ya sasa, hawana ile ari ya upambanaji tena, hasa hawa mabinti wa mjini, wanapenda maisha ya ghali ambayo hata wao wenyewe hawawezi kuyamudu, ukikutana na binti mpambanaji atapambana atafika hatua akiona mambo hayaendi, anachoka, anakata tamaa, mwisho wa siku anasema bora aolewe tu atue mzigo.
Hujaja kwa wale ambao hawana issue za maana za kufanya, hawana kipato cha kueleweka, wanachagua kazi, na wanataka kuishi maisha ya kistar, hawa ndo jipu kabisa.
Mwisho wa siku nao utaona wamefika hatua anaona hana kitu chochote mkonon, cha umiliki wake, alichokua nacho pengine ni uzuri wake, matokeo yake anatafuta mwanaume wa kumpa unafuu wa maisha huku yeye akiendelea kufanya yake.
Jaman, naelewa maisha ni magumu, lakin mfahamu maisha magumu yapo kwa wote, wanawake na wanaume, lakin hili swala la wanawake kutopenda kujituma limekua too much.
Yan kwa sasa, mwanamke akipata mwanaume ni kama ndo amekua mtatuzi wa shida zake zote, wenyewe wanasema "He has to care", What?
Hivi mnaelewa maana ya mtu kukjali?
Sio umbebeshee shida zako zote kama vile wewe huna mikono na miguu ya kukfanya upambanie walau kitu kidogo cha kukfanya uishi maisha yako.
Sio wote, ila wadada naombeni niwaambie tu hili, wanaume sasa tumeshtuka.
Msipobadilika na sisi hatutobadilika.
Kama mnatafuta unafuu wa maisha kwa kutaka kuingia kwenye ndoa na wanaume wenye uwezo mzuri wa kiuchumi, mtaishia kua vipozeo wao bila hata nyie wenyewe kujijua na hatutowaambia, tutaendelea kuwadanganya mpaka akili zenu zikae sawa.
Wanaume wako smart sana, mbaya zaidi hua hawaongei, atakusoma tu, na akiona wewe sio wa kuweka ndan, atajipigia mpaka achoke anakutupa kule.
Jifunzeni namna ya kuadd value kwa mtu ama ndoa, sio unaleta tu sura yako nzuri na matacooooowwww yako ukafikiri maisha ndo umeyamaliza, wanaume tunakinai mapema sana, tukiona una mwili wako tu kwa ajili ya kuoffer, hatutokuambia, ila pia hatutokuweka ndan, na ikitokea ukawekwa ndan, subir uone matokeo yake.
Wanawake, acheni kupenda vitonga, maisha ya sasa yanahitaji upambanaji, pambana kwa sehem yako ndogo tu, na mtu aone unajituma, hata siku akikuweka ndan utachukua majukum yako kama mama, lakin anakua anajua ameweka jembe ndan.
Sio unataka kila kitu mwanaume akufanyie, wewe, ndugu zako, marafiki zako, shida zote yeye ndo awe mtatuzi, niwaambie tu, tutaendelea kujipigia na mtaendelea kuwaita wanaume wote ni Dogs.
Nimemaliza.
Weh kiruuu nyie ndio mnatunzwa sana na wadada siku hiziHabari za muda.

Tunashukuru kwa bandiko nzuri, ngoja tuendelee kujifunza namna bora ya kuwafunza binti zetu walao wasiwe kama mama zao.Habari za muda.

Kafanyeni kazi huko, kila kukicha wanawake hivi wanawake vile.Habari za muda.