Asilimia kubwa ya wanawake wanaolewa kutafuta unafuu wa Maisha

Na ndio maana ni rahisi mwanamke kumwacha mwanaume anaye mpenda kwa dhati, ambaye ana hali ya kawaida kiuchumi akaenda kuolewa mwanaume mwenye uchumi mkubwa.

Ila kwa mwanaume ni ngumu sana kumuacha mwanamke anayempenda,kisa kuna demu mwenye hela anamtaka.
 
Asikudanganye mtu akina Mama wameamka na wako vizuri sana kiuchumi. Naweza sema asilimia kubwa ya familia vijijini na kwa baadhi mijini zinaendeshwa na wanawake.

Inatupasa wanaume kuamka na kusimama kidete maana wengi wa wanawake wakipata kipato huleta jeuri.

Angalizo: Madanga wapo, na hawawezi kuisha maana hata kwenye maandiko tunasoma habari za wanawake walioishi maisha ya kwa kudanga au kufanya umalaya.

Eee Mwenyezi Mungu uturehemu na kurudisha umoja na upendo ktk ndoa, na kizazi chenye maadili

Ujeuri ni tabia na hulka ya mtu bila kujali ana financial independence or not.

Kuna maskini jeuri wengi sana kwenye jamii.
 
Habari za muda.

Polen na majukum ya kujenga Taifa, kwa sisi tuliolala, tutawasaidia kupaka rangi huko mbelen, maisha yanaenda.

Back to the Topic.
Hizi ndo akili za baadhi ya wanaume hapa bongo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]!! Inasikitisha sana.
 
Ninachoona wabongo wengi bado tupo karne ya 18 huko wakati mambo yamebadilika sana wakati huu maisha ni kusaidiana mambo ya mwanaume ndo afanye kila kitu ilihali mke anakipato pia ni upuuzi tuliomezeshwa ambao hata hao waliotuletea huo ustaarabu wazungu wameuacha.

Wote tuna equal access na kila kitu why mwanaume afanye kila kitu?? Nilimsikia yule dada wa BBC anakwambia England watu wanakaa pamoja kusaidiana maisha ni 50 50 wewe unaleta mezani mimi naleta mezani ni familia yenu sio ya mwanamme peke yake. Ndo mana ndoa nyingi hazidumu pia kuna mdada nilichat nae fb ni rafiki yangu wa mda sana akaniambia yani maisha magumu bora niolewe tu khee nikashangaa sana kuolewa ni ajira au mpaka uhisi huko utapata unafuu.
 
Mwanamke kaumbiwa maisha mazuri na rahisi.

Kitonga ni Haki Yao.

Labda Kama hujafunzwa kuwatambua hao viumbe.

MWANAUME ndio hapaswi Kupenda kitonga
 
Attachments

  • post_271352021_376593200936021_8927219582199274508_n.mp4
    3.7 MB
Tunawarithi bibi zetu kina Esta waliolewa kwa wafalme na watawala ili kusaidia jamii zao,, na Mungu aliwabariki kiroho safi wewe Ni kitu gani katika hayo hata ujitie kutusimanga!! Ungekuja na mjadala wa kujadili wanaume wenzio wanaopenda mteremko,, ningekuona wa maana vinginevyo unatuonea wivu tu,,

Ila Ni Raha kuwa na mwanaume mwenye pesa nyie acheni tu unapata utakacho na kwa wakati genye Ni za kugusa tu sababu ya💵💵,,, Asante Mungu
 
Mwenye kisu kikali ndio mla nyama that's nature.. hata Gorillas dating Yao mwanamke huchukuliwa na the strongest Gorilla..[emoji23][emoji23][emoji23]
Yani mtoa mada kazidiwa maarifa hata na gorilla tu,, na sio gorilla tu wanyama wote mwenye nguvu ndiye anapanda jike
 
Tunawarithi bibi zetu kina Esta waliolewa kwa wafalme na watawala ili kusaidia jamii zao,, na Mungu aliwabariki kiroho safi wewe Ni kitu gani katika hayo hata ujitie kutusimanga!! Ungekuja na mjadala wa kujadili wanaume wenzio wanaopenda mteremko,, ningekuona wa maana vinginevyo unatuonea wivu tu,,

Ila Ni Raha kuwa na mwanaume mwenye pesa nyie acheni tu unapata utakacho na kwa wakati genye Ni za kugusa tu sababu ya[emoji385][emoji385],,, Asante Mungu
Punguza jazba mama.
Hutakiwi kutumia hisia kali kujibu.
Btw, nayaheshimu mawazo yako, una huo uhuru na sina budi kukbaliana na wewe.
 
Sio kwamba wewe ndo umesoma comment kww hisia kali?
 
Hamna la ajabu hapo mwanamke kupenda mtu mwenye kitu hiyo Ni tangu enzi na enzi,tangu kuumbwa kwa ulimwengu,Soma vitabu vya kale vya dini na vya historia utapata majibu....ajabu Ni kuona jinsi wanamme nao siku hizi hawataki kazi nao wanataka mseleleko .Ajabu kuu
 
Bado tunasema vijana punguzeni kasi ya KUOA,,,,

Haya yote hadi watu wanakuwa wanafalsafa ni kutokana na hizo mnaita ndoa..
 
Mie naangalia kismart tu!! ...haijalishi wewe ni goal keeper!! umesoma au hujasoma! mzuri au mbaya!!.......kuna wanawake ukiwahonga Laki utapata Million kumi!....ukimchekea tu unajenga mjengo !! sasa kwa nini nimuache wa hivyo!!

Msione watu wanahongwa nyumba, magari, si kitoto .........viwanja wanasomeshwa buuure!!! tena ukooo wote wa mwanamke!! na yuko tayari aoe mpaka na mdogo mtu kwa gharama kuubwa!

hii imefanya wanaume wengi wawe Malaya ki aina!! wanatafuta bahati njema huko!! na maCD kupata soko!! ukibisha wewe nenda beba CD uone biashara itakavyo changanya! na hao CD siyo wote ila utampata mmoja au wawili..lkn ni ivo!

Na hii iko kote kote kwa wanaume pia dhidi ya wake zao!! mwanamke unapata kidume hakina kazi lkn mambo yako mchakamchaka utashangaa unapanda vyeo ghafla, mapesa km yote! safari mwee!!

sasa muache sababu ya kiburi cha uzima uone moto!! utaisha mpaka nyama!! utasingizia kurogwa huko sasa hela zooote utampa mganga ndo mwisho wako!! mpaka utawakimbia watu!!

hayaaa kuna mwingine hasa kina wenye majina ya jack! hawa kamwe Hupati hela ni kunuka kikwapa tyuuuuu!! miguu ya fungus! mpaka ukome! mijasho km yote ukisaka pesa!

sasa jaribu kuacha jack!! ... umpate Esta weee!!! hata km huna kazi utajenga hadi ujishangae!! utaitwa popote mapesa hayoooo!! km yote wanaume sisi tuna liangalia hilo saaaana!!

ndo maana unaonaga watu wanarudi kwa videmu vyao vya zamani zile! kwa magoti! na kwa gharama yeyote ile!!! kwa sababu tu ya kismart! ukiena mtu ameenda jumla hunakismart cha hela! ogea mfedhafedha!
 
Wimbi kubwa sababu wanawake wanazaliwa wengi kuliko wanaume pili kwenye hao wanaume toa mashoga, tatu toa wasiotaka kuoa haya hapo mnabakia wachache sana
Toa majambazi wanao uawa sana, ...toa me wanao kufa tarime, mugumu, vitani km DRC,somalia nk,...Toa wazamiaji. Toa wanaopata ajali barabarani km boda boda!! madereva wengi ni me!! toa wanao kufa ajali za mikoani,...

Toa wakurungwa, Toa wanao kufa sana kwa kushindwa kupumua hosp!...Toa wanao uawa sana ili mke arithi mali zote hasa Machame me hawapo kabisa!.. waliopo ni makonde!

Toa wanaofungwa sana Magerezani km mbowe mke wake bado kijana kamuachia nani na wapi?! Toa wanao pigwa risasi za kizushi na maksudi tu na watawala !!..km Lisu siku zoote hizo za kuuguza! mke alipata haki yake wapi??

Toa wanao potezwa tu kma Beni saanane ivi mke wake sijui ana hali gani na bado kijana yuko wapi! Toa wajane wooote km anan mkapa na naliu huyu wa juzi juzi anaitwa nani vile!....

Toa hao wanao uwa wenziwe na Mungu anawalipa wanakufa wanaacha wake zao bado vijana!

wanaume ni risk taker hawaogopi kufa! ndo walivo na ndo maana ni wachache!! wanazaliwa wachache wanakufa wengi!
 
Habari za muda.

Polen na majukum ya kujenga Taifa, kwa sisi tuliolala, tutawasaidia kupaka rangi huko mbelen, maisha yanaenda.

Back to the Topic.

Iko hivi, naleta huu uzi kutokana na uzoefu nliopata mimi binafsi na kwa watu walionzunguka, jamii.

Nimenotice kitu cha kushangaza sana, kwa hii miaka ya hivi karibu, sijui ni ugumu wa maisha, kupenda kitonga au kukataa tamaa na maisha.

WANAWAKE.

Labda niwaulize swali mmoja tu, nini kinawapelekea kutaka kuolewa ili kupata unafuu wa maisha? Ama kulazimisha ndoa kwa haraka sana?

Kama mmenotice limetokea wimbi kubwa sana la wanawake ambao wako desperate sana na ndoa, wako tayari kufanya/kumfanyia chochote mwanaume aliekidhi vigezo wanavyovitaka wao ili tu waolewe nae.

Nina mifano hai, kutoka kwa wanawake wenyewe wakikiri kwa vinywa vyao, kua wapo tayari kuolewa na mwanaume mwenye hadhi/pesa ili tu maisha yao yaende vizuri, hayo mengine watavumilia huko huko.

Madhara ya haya mnajua yamekua ni yapi?
1. Kutodumu kwa ndoa
2.Ongezeko la watoto wasiopata malezi ya baba
3.Ongezeko la wimbi la udangaji
4.Ukatili wa kijinsia.
5.Vifo vya wivu wa kimapenzi.

Labda nseme hivi, wanawake wengi sana, hasa kutokana na ugumu wa maisha ya sasa, hawana ile ari ya upambanaji tena, hasa hawa mabinti wa mjini, wanapenda maisha ya ghali ambayo hata wao wenyewe hawawezi kuyamudu, ukikutana na binti mpambanaji atapambana atafika hatua akiona mambo hayaendi, anachoka, anakata tamaa, mwisho wa siku anasema bora aolewe tu atue mzigo.

Hujaja kwa wale ambao hawana issue za maana za kufanya, hawana kipato cha kueleweka, wanachagua kazi, na wanataka kuishi maisha ya kistar, hawa ndo jipu kabisa.
Mwisho wa siku nao utaona wamefika hatua anaona hana kitu chochote mkonon, cha umiliki wake, alichokua nacho pengine ni uzuri wake, matokeo yake anatafuta mwanaume wa kumpa unafuu wa maisha huku yeye akiendelea kufanya yake.

Jaman, naelewa maisha ni magumu, lakin mfahamu maisha magumu yapo kwa wote, wanawake na wanaume, lakin hili swala la wanawake kutopenda kujituma limekua too much.

Yan kwa sasa, mwanamke akipata mwanaume ni kama ndo amekua mtatuzi wa shida zake zote, wenyewe wanasema "He has to care", What?

Hivi mnaelewa maana ya mtu kukjali?
Sio umbebeshee shida zako zote kama vile wewe huna mikono na miguu ya kukfanya upambanie walau kitu kidogo cha kukfanya uishi maisha yako.

Sio wote, ila wadada naombeni niwaambie tu hili, wanaume sasa tumeshtuka.
Msipobadilika na sisi hatutobadilika.
Kama mnatafuta unafuu wa maisha kwa kutaka kuingia kwenye ndoa na wanaume wenye uwezo mzuri wa kiuchumi, mtaishia kua vipozeo wao bila hata nyie wenyewe kujijua na hatutowaambia, tutaendelea kuwadanganya mpaka akili zenu zikae sawa.

Wanaume wako smart sana, mbaya zaidi hua hawaongei, atakusoma tu, na akiona wewe sio wa kuweka ndan, atajipigia mpaka achoke anakutupa kule.

Jifunzeni namna ya kuadd value kwa mtu ama ndoa, sio unaleta tu sura yako nzuri na matacooooowwww yako ukafikiri maisha ndo umeyamaliza, wanaume tunakinai mapema sana, tukiona una mwili wako tu kwa ajili ya kuoffer, hatutokuambia, ila pia hatutokuweka ndan, na ikitokea ukawekwa ndan, subir uone matokeo yake.

Wanawake, acheni kupenda vitonga, maisha ya sasa yanahitaji upambanaji, pambana kwa sehem yako ndogo tu, na mtu aone unajituma, hata siku akikuweka ndan utachukua majukum yako kama mama, lakin anakua anajua ameweka jembe ndan.

Sio unataka kila kitu mwanaume akufanyie, wewe, ndugu zako, marafiki zako, shida zote yeye ndo awe mtatuzi, niwaambie tu, tutaendelea kujipigia na mtaendelea kuwaita wanaume wote ni Dogs.

Nimemaliza.
wanawake wamekuwa machawa na wapenda vitonga, mpaka wameshawaambukiza huo ujinga kaka zao.

kaka zao nao skuizi wanataka waolewa na midume menzao, eti haki za mashoga. Kumbe sababu ni uchawa na kitonga. Wanatafta pa kuponea kama dada zao.
 
Weh kiruuu nyie ndio mnatunzwa sana na wadada siku hizi
 
Tunashukuru kwa bandiko nzuri, ngoja tuendelee kujifunza namna bora ya kuwafunza binti zetu walao wasiwe kama mama zao.

Nadhani kuna makosa mahali, ama kwa wazazi wetu au tulivamia namna mpya ya maisha ndio maana leo tunazungumza lugha ya namna hii.

Iwapo tutaonyesha kubadilika sisi wazazi wa leo ndivyo wana wetu watabadilika, wakati tukiwalaumu wanawake au wasichana wa leo tusisahau pia kuna mahali wazazi wetu walikosea.
 
Habari za muda.

Polen na majukum ya kujenga Taifa, kwa sisi tuliolala, tutawasaidia kupaka rangi huko mbelen, maisha yanaenda.

Back to the Topic.

Iko hivi, naleta huu uzi kutokana na uzoefu nliopata mimi binafsi na kwa watu walionzunguka, jamii.
Kafanyeni kazi huko, kila kukicha wanawake hivi wanawake vile.

Muda wote munaishia kwenye mitandao badala ya kuutumia kufanya kazi mukajiendeleza kimaisha.
 
Back
Top Bottom