Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Kwenye siasa, uchawi 100%
Biashara uchawi upo kwa 75% waliobaki hawajielewi wamuamini Mungu au waingie kwa sangoma😂😂😅😅
Kwenye Ajira uchawi unatumika kupandisha vyeo, kulinda vyeo na kurudisha kazini wadau waliotimuliwa.
Mahakamani huko 90% na zaidi kuna mauza uza kibao ya ushirikina na umeua wengi sana kwenye kesi kama za Mirathi.
Kwenye mapenzi huko 90% ya kina mama wanatulisha vitu vizito sana ili tuwapende na kuwasikiliza..
90% ya kesi za mirathi humalizwa na ushirikina. Jikute wewe ndio unapinga wadau wasiuze mali utajikuta jalalani unaokota kopo.
Narudi