[emoji3][emoji3][emoji3]We subiri tu shetani anakulia mingo pigo 1 tu chali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3]We subiri tu shetani anakulia mingo pigo 1 tu chali
Kwahiyo Mfalme Suleiman alikua anatumia ushirikina? [emoji848]Kwenye siasa, uchawi 100%
Biashara uchawi upo kwa 75% waliobaki hawajielewi wamuamini Mungu au waingie kwa sangoma[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]
Kwenye Ajira uchawi unatumika kupandisha vyeo, kulinda vyeo na kurudisha kazini wadau waliotimuliwa.
Mahakamani huko 90% na zaidi kuna mauza uza kibao ya ushirikina na umeua wengi sana kwenye kesi kama za Mirathi.
Kwenye mapenzi huko 90% ya kina mama wanatulisha vitu vizito sana ili tuwapende na kuwasikiliza..
90% ya kesi za mirathi humalizwa na ushirikina. Jikute wewe ndio unapinga wadau wasiuze mali utajikuta jalalani unaokota kopo.
Narudi
Mkuu wachawi wana roga kwaajili ya kuaribu mipango ya watu na siyo kuwaajiri ya maendeleo ndiyo Uswahili ukifanya jambo la maendeleo watahakikisha wana lizuia kwa njia yoyote, Watanzania wanapenda watu wote tuwe na maisha Duni, we uwaoni CCM hawa taki watanzania tuwe na maisha mazuri wakiona Nchi inataka kusogea wanaizamiasha chini, Rejea Mgao wa umeme na maji, mikopo ya wanachuo nk.Uchawi hauna umuhimu katika kutoboa life, huku uswahilini watu wanaroga Sana but still wana-suffer katika Extreme poverty
Mungu na kuishi katika utakatifu hizo ndo njia sahihi.
Yule alikua mchawi wa maarifaKwahiyo Mfalme Suleiman alikua anatumia ushirikina? [emoji848]