Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
"Trust Me Bro"Source
MBAYA ZAIDI UTAKUTA ANATUMIA NGUVU ZA KIZA,KWA SIRI,HUKU AKIWA NI MTU WA KANISA KWELI NA KUWAASA WENGINE WAACHANE NA NGUVU ZA GIZA TUMTEGEMEE YESU,IN FACT JEHANAM ITAJAA KWELIKWELI.Kwenye siasa, uchawi 100%
Biashara uchawi upo kwa 75% waliobaki hawajielewi wamuamini Mungu au waingie kwa sangoma๐๐๐ ๐
Kwenye Ajira uchawi unatumika kupandisha vyeo, kulinda vyeo na kurudisha kazini wadau waliotimuliwa.
Mahakamani huko 90% na zaidi kuna mauza uza kibao ya ushirikina. na umeua wengi sana kwenye kesi kama za Mirathi
Kwenye mapenzi huko 90% ya kina mama wanatulisha vitu vizito sana ili tuwapende na kuwasikiliza..
90% ya kesi za mirathi humalizwa na ushirikina. Jikute wewe ndio unapinga wadau wasiuze mali utajikuta jalalani unaokota kopo
Narudi
Wewe ni mwanasiasa au mfanyabiashara, na je unatumia hiyo kitu๐ค"Trust Me Bro"
Uchawi ni imani potofu! Ukiuamini, umepotea. Mimi ninaingia mwaka wa tatu huu! Hakuna cha uchawi, wala nini! Halafu biashara imenyooka kama rula.Mimi nachojua ni 100%
We subiri tu shetani anakulia mingo pigo 1 tu chaliUchawi ni imani potofu! Ukiuamini, umepotea. Mimi ninaingia mwaka wa tatu huu! Hakuna cha uchawi, wala nini! Halafu biashara imenyooka kama rula.
Kutokubweteka, nidhamu ya pesa pamoja na ulinzi wake madhubuti, nidhamu kwa wateja, ubunifu, kujiongeza, kukwepa kodi za kijinga za TRA, kununua bidhaa za magendo kwa bei ya chini na kwenda kuuza kwa bei ya sokoni, kutumia fursa mbalimbali, nk ndiyo uchawi wenyewe huo sasa!!!
Huo ni uongo wa kutaka kuwaaminisha watu na umma kuwa bila nguvu za giza hutoboi.Kwenye siasa, uchawi 100%