Asilimia kubwa ya Watanzania wanatumia nguvu za giza katika Biashara, Ajira na Harakati za Maisha Kiujumla

Kwahiyo Mfalme Suleiman alikua anatumia ushirikina? [emoji848]
 
Uchawi hauna umuhimu katika kutoboa life, huku uswahilini watu wanaroga Sana but still wana-suffer katika Extreme poverty

Mungu na kuishi katika utakatifu hizo ndo njia sahihi.
Mkuu wachawi wana roga kwaajili ya kuaribu mipango ya watu na siyo kuwaajiri ya maendeleo ndiyo Uswahili ukifanya jambo la maendeleo watahakikisha wana lizuia kwa njia yoyote, Watanzania wanapenda watu wote tuwe na maisha Duni, we uwaoni CCM hawa taki watanzania tuwe na maisha mazuri wakiona Nchi inataka kusogea wanaizamiasha chini, Rejea Mgao wa umeme na maji, mikopo ya wanachuo nk.
 
Kwahiyo Mfalme Suleiman alikua anatumia ushirikina? [emoji848]
Yule alikua mchawi wa maarifa

kamanda alimla malikia wa Sheba kwa mbinu bila nguvu

Ule nao ni uchawi aisee
 
Kama Uganga ungekuwa wafanikisha utajiri, huko vijijini watu wasingekuwa masikini
 
Ukitaka utusue usiwe vuguvugu kama umeamua kusimama na Mungu simama Naye uwe na subira uwe na nidhamu ya fedha na mda kuwarisk taker usikariri Maisha ni dar re salaam mwanza, Arusha maisha ni popote , muheshimu Mungu kwa pato lako
 
Hata vitabu vitakatifu vinasema uchawi upo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…