mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
100% tunapita round ya pili ila sharti ni baadhi ya wachezaji wasicheze mechi mbili zijazo,
Sie tunamfunga Zambia, Morocco anamfunga DRC, mechi ya mwisho Morocco anamfunga Zambia sie tundraw na DRC, moja kwa moja tumepenya
Au hata tudraw na Zambia na Morocco anamfunga DRC mechi ya mwisho Moroco anamfunga Zambia sie tunamchapa DRC na tumepenya fasta tu
Yaani hii draw ya Zambia na DRC imetubeba sana Lakini je, Watakubali kuwaacha wachezaji wao wanaowapenda? Kwa ajili tupite?