econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Wanafungika mbonaaa
Utamfungaje. Timu ya ushindi inajulikana na timu ya kusindikiza wengine inajulikana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanafungika mbonaaa
Mimi bado nabaki optimistic kwamba tutavuka hatua hii.
iko hivi mashindano yana timu 24.
Katika hatua hii zinachujwa timu 8 tu.
Timu 16 zitabaki kwa hatua inayofuata..
Kwa msingi huu, hata watakaoshika nafasi ya tatu kwny group level (watakuwa 6) wa4 kati ya 6 watafuzu straight kupitia dirisha la best loser.
Hivyo stars wetu hata wakishinda mechi moja tu watafuzu kama ilivyokuwa kwa Malawi afcon iliyopita.
Tujiepusheni na malawama ya kifala