mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
Hizi ni theory za kilimo cha matikiti😂😂😂.100% tunapita round ya pili ila sharti ni baadhi ya wachezaji wasicheze mechi mbili zijazo,
Sie tunamfunga Zambia, Morocco anamfunga DRC, mechi ya mwisho Morocco anamfunga Zambia sie tundraw na DRC, moja kwa moja tumepenya
Safari hii tunamfungaNyie mashabiki wa simba na yanga mnaaibisha sana mpira
Ni lini Tanzania amewahi kumfunga Zambia kwenye mechi muhimu?
We unaota mkuuSafari hii tunamfunga
Hakuna draw hata moja kaka, sisi ni kuchapwa ndani nje mwanzo mwisho.100% tunapita round ya pili ila sharti ni baadhi ya wachezaji wasicheze mechi mbili zijazo,
Sie tunamfunga Zambia, Morocco anamfunga DRC, mechi ya mwisho Morocco anamfunga Zambia sie tundraw na DRC, moja kwa moja tumepenya
Au hata tudraw na Zambia na Morocco anamfunga DRC mechi ya mwisho Moroco anamfunga Zambia sie tunamchapa DRC na tumepenya fasta tu
Yaani hii draw ya Zambia na DRC imetubeba sana Lakini je, Watakubali kuwaacha wachezaji wao wanaowapenda? Kwa ajili tupite?
Mashabiki wa taifa stars hamnazo. Kuna timu pale ya kwenda round ya pili? Kocha kasema pale kuna majina tuu hakuna wachezaji.100% tunapita round ya pili ila sharti ni baadhi ya wachezaji wasicheze mechi mbili zijazo,
Sie tunamfunga Zambia, Morocco anamfunga DRC, mechi ya mwisho Morocco anamfunga Zambia sie tundraw na DRC, moja kwa moja tumepenya
Au hata tudraw na Zambia na Morocco anamfunga DRC mechi ya mwisho Moroco anamfunga Zambia sie tunamchapa DRC na tumepenya fasta tu
Yaani hii draw ya Zambia na DRC imetubeba sana Lakini je, Watakubali kuwaacha wachezaji wao wanaowapenda? Kwa ajili tupite?
Umesoma ukaelewa lakini?Mashabiki wa taifa stars hamnazo. Kuna timu pale ya kwenda round ya pili? Kocha kasema pale kuna majina tuu hakuna wachezaji.
Samata, manula, msuva, novatus(hana nidhamu), na wazee wote, achezeshe vijana waliopo kwani hatuna cha kupoteza, lengo lilishatimia,Hebu wataje hao unaotaka watoke tuone kama tunaweza kunyutrolaizi akili..
Kwa heshima kuu,Aliyeita hii timu kichwa cha mwendawazimu yamkini alimaanisha mpaka mashabiki wake, akili za kiwendawazimu hizi.
Wanafungika mbonaaaZambia hamumfungi kongo ndo balaa hata draw Hutoi
Hizi formula za ras simba na twishen yake ya english100% tunapita round ya pili ila sharti ni baadhi ya wachezaji wasicheze mechi mbili zijazo,
Sie tunamfunga Zambia, Morocco anamfunga DRC, mechi ya mwisho Morocco anamfunga Zambia sie tundraw na DRC, moja kwa moja tumepenya
Au hata tudraw na Zambia na Morocco anamfunga DRC mechi ya mwisho Moroco anamfunga Zambia sie tunamchapa DRC na tumepenya fasta tu
Yaani hii draw ya Zambia na DRC imetubeba sana Lakini je, Watakubali kuwaacha wachezaji wao wanaowapenda? Kwa ajili tupite?
ndo Itakuwa Mwaka Huu InshallahNyie mashabiki wa simba na yanga mnaaibisha sana mpira
Ni lini Tanzania amewahi kumfunga Zambia kwenye mechi muhimu?
SawaSamata, manula, msuva, novatus(hana nidhamu), na wazee wote, achezeshe vijana waliopo kwani hatuna cha kupoteza, lengo lilishatimia,
tatizo letu tunataka kubeba ndoo ndio shida, ila tungerelax na kuwaamini vijana tungefanya kitu bila shaka